Wanyama hawatupendi maana hatuaminiki

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,422
3,393
Jana nilikuwa sehemu na rafiki yangu, tulikuwa tunatembea tu, tukamkuta mzungu na rafiki yake ambaye mbongo nao wanatembea.

Sasa mbele kulikuwa na mbuzi, yule mzungu akaenda kwa yule mbuzi kwa kugusanisha sura kabisa akapiga nae picha, yule mbuzi alitulia tu hakukimbia wala kutingishika, nikamwambia rafiki kuwa hawa jamaa wamebarikiwa sana, akajibu kuwa hakuna mbuzi hanaga shida na mtu.

Nikamwambia poa nenda na wewe, akaenda kwani alifika hata kufika, mbuzi alitimua mbio nusu agongwe na gari, nilijisikia vibaya sana.
 
Jana nilikuwa sehemu na rafiki yangu ,tulikuwa tunatembea tu,tukamkuta mzungu na rafiki yake ambaye mbongo nao wanatembea,sasa mbele kulikuwa na mbuzi,yule mzungu akaenda kwa yule mbuzi kwa kugusanisaha sura kabisa akapiga nae picha,yule mbuzi alitulia tu hakukimbia wala kutingishika,nikamwambia rafiki kuwa hawa jamaa wamebarikiwa sana,akajibu kuwa hakuna mbuzi hanaga shida na mtu,nikamwambia poa nenda na wewe,akaenda kwani alifika hata kufika,mbuzi alitimua mbio nusu agongwe na gari,nilijisikia vibaya sana
Mbuzi hawezi kukubali kupiga picha na mbuzi mwenzake.
 
Nilienda kumtembelea ndugu yangu fulani nikakuta wanazozana na jirani yake inasemekana jirani aliwawekea sumu kuku wa ndugu yangu kisa wanamsumbua..Kuku kweli jmn wa kuwawekea sumu kweli!!
 
Nilisoma kitabu kinaitwa Nalutesha, nikibaki kucheka tu jinsi wanyama wanavyo tuchukulia sisi binadamu.
 
Jana nilikuwa sehemu na rafiki yangu, tulikuwa tunatembea tu, tukamkuta mzungu na rafiki yake ambaye mbongo nao wanatembea.

Sasa mbele kulikuwa na mbuzi, yule mzungu akaenda kwa yule mbuzi kwa kugusanisha sura kabisa akapiga nae picha, yule mbuzi alitulia tu hakukimbia wala kutingishika, nikamwambia rafiki kuwa hawa jamaa wamebarikiwa sana, akajibu kuwa hakuna mbuzi hanaga shida na mtu.

Nikamwambia poa nenda na wewe, akaenda kwani alifika hata kufika, mbuzi alitimua mbio nusu agongwe na gari, nilijisikia vibaya sana.
Jamaa yako atakuwa na mikosi, mbuzi wanaona mikosi na wanatoa mikosi pia😅
 
Nilienda kumtembelea ndugu yangu fulani nikakuta wanazozana na jirani yake inasemekana jirani aliwawekea sumu kuku wa ndugu yangu kisa wanamsumbua..Kuku kweli jmn wa kuwawekea sumu kweli!!
Kuna watu wana mioyo si ya kitoto hii Dunia.
 
Ukiwa unakula nyama hata jasho lako linanukia nyama. Mbuzi akiwa karibu nawe anakunusa anajua wewe umekula nyama..

Kuna jamaa alilala na malaya halafu hakuoga. Aliporudi home akapokelewa na mbwa wacha wamuume down there wakaparura hata kizazi hana. Wale mbwa walinusa harufu ya nyama mbichi kutoka kumani wale mbwa wakajua nyama..

Kuna la kujifunza...
 
Thread Hii Ingepata Comment Ya Mr Kuku Ingenoga Sana Sana, Maana Anauzoefu Mwingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom