Wang'atwa na kundi la nyuki wakiwa gesti wamepumzika! 🐝

Poker

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
5,308
14,207
Katika hali isiyo ya kawaida bishop mmoja huko kenya amekamatwa akila kondoo wake huko guest house. Mume wa kondoo huyo alipojua kuwa mkewe atakuwa anachepuka akaamua aende kwa mtaalam aweze kumsaidia, na ndipo alipopatiwa dawa.

Bishop huyo akiwa ameshazoea kula kondoo wake alienda tena gesti kula tunda kimasihara ndipo nyuki zilipotoka kusikojulikana nakuanza kuwang'ata hadi kupelekea wote kukikimbia chumba wakiwa uchi wa mnyama kabla ya wahudumu wa hiyo gesti kuwakamata na kuwastiri kidogo. Wamekamatwa na kesi inaendelea!

Screenshot_20220612-095312.jpg
 
Bila picha wala source of information hapa umetupa story za kijiweni. Au source kakupa mshikaji nae alipewa na mshikaji, mshikaji mwenyewe alisoma story kwenye gazeti la mwaka ule, jamaa kapokea story kama ya jana. .
 
Source ni ya ukweli mkuu!
 
Kuzini sio kosa kisheria.
Hakuna mtu aliye wahi kufungwa kwa kula tunda la mke wa MTU kimasihara. Ndio maana nasema usipende kufumania LIVE.
Kwani anaichukua? Si mkeo anabaki nayo na wewe Mara moja moja unajipigia....
 
Ni kosa kula mke wa mtu.
 
Back
Top Bottom