Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,236
Happy new year!Nakutolea unabii mwaka huu uwe na wokovu kwkao na nymba yako yote.Ubarikiwe sana.happy new year 2011
Happy new year!Nakutolea unabii mwaka huu uwe na wokovu kwkao na nymba yako yote.Ubarikiwe sana.happy new year 2011
hahahahh babu..
punguza kutabasamu utapoteza tena hayo meno mapya ....
happy new year!nakutolea unabii mwaka huu uwe na wokovu kwkao na nymba yako yote.ubarikiwe sana.
we hujui huu ndo urithi wako..
unatakiwa uanze kumbembeleza na kukata kucha zake lol
kwa hiyo we unakubaliana na hili au la??
Hapana sikubaliani na hiyo dhana ya mahusiano huria. Nilichomaanisha ni kwamba naheshimu sana watu walio wakweli kwa nafsi zao na wenzi wao pia.
Uko kwenye ndoa na unaapa unampenda mumeo lakini una mahawara nje na unafanya siri. Unamdanganya nani sasa?
Sasa kama kuna watu wawili ambao wameridhia kuwa na mahusiano na watu wengine kuna ubaya gani hapo? Hivi unajua kuwa kuibia penzi ni stressful sana? Maana kwanza lazima uwe muongo halafu lazima uwe na kumbukumbu nzuri ya kukumbuka uongo wako. Pia utakabiliana na dhamiri yako inayokusuta na kukuhukumu. Hayo na mengine ni stress tu. Lakini mtu ukiwa mkweli ni raha tupu.
Pole kwa upweke... and be happy now and everyday ......LOLhahahaha lol afadhali umerudi lol
Na huu mkosi acha ukupate tu hahah ......kisa cha kukagua wake za wenzio hahahAnanitafutia wapi? Hebu leta link...tangu nikukague nimepata mkosi wa kukagua. Siku ile uliogea magadi?
Ukiona hivyo ujue mmoja anampenda mwenzie zaidi kuliko mwingine.kiini cha tatizo ni kwamba mama aligungua baba ana toka nje ya ndoa yao...
kwa vile mama bado anampenda baba ...
ndo aka suggest hii open relationship ili awe free..
na baba akakubali ...
kwa sababu baba naye anadai anampenda mkeo..
Nilikwambia TF ni penpal wako ukasema kakubali ushirika leo kakukana,unajuwa wanaume wote ni aina ya wanyama,simba dume akikutana na simba jike mwenye watoto anawauwa wote ili amzalie wake. TF na wanaume wote hawawezi kukubali ushirika kwa mwanamke wao THAT'S A FACT!hahahah lol
kwa kweli wajukuu wengine wa kiume watafurahi sana kusikia
mpinzani mkuu kajitoa....
chance zao zimeongezeka...
Nilikwambia TF ni penpal wako ukasema kakubali ushirika leo kakukana,unajuwa wanaume wote ni aina ya wanyama,simba dume akikutana na simba jike mwenye watoto anawauwa wote ili amzalie wake. TF na wanaume wote hawawezi kukubali ushirika kwa mwanamke wao THAT'S A FACT!
hahah hapo ukimuuliza mwenyewe atakwambia wala haina shidahii mbaya sana...