Wangapi wanaamini Mobutu alikuwa Rais mbaya?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Watu tuliaminishwa na watu wengine kuwa mobutu alikuwa Rais mbaya saana na yeye ndo chanzo cha vurugu za Kongo

Ndivyo tulivyoaminishwa na historia ya wazungu pamoja na historia ya watu weusi wenzetu

Kuna raia moja wa Guinea aliwahi kusema kuwa Mobutu alikuwa anatumia uchawi mweusi kuongoza Kongo alikuwa anatoa watoto wake kafara ili apate nguvu

Na mwingine kutoka Burundi aliwahi kusema Mobutu alikuwa Rais mbaya alikuwa anakula nyama za raia wake

Swali kwanini wanafanya propaganda zote hizi kwa Mobutu

Je, haya yote ni kweli?

Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa historia unafuatilia video za Mobutu. Mwaka 1985 Mobutu alikuwa anafanya interview na radio kutoka Ufaransa, Kuna maswali ambayo aliulizwa kuhusu Zaire alijibu mengi
Ila nitanukuu baadhi ya jibu fulani. Alisema kuwa kama Zaire future yake itakuwa mbaya ni kwasababu ya Wabeljiji na Wafaransa pamoja na wa Marekani maana hao ndio wana mpango wa kuharibu Zaire ila kama mimi nipo madarakani hicho kitu hakiwezi kutokea kamwe

Ukitaka kupata video hii nenda YouTube
Mobutu aliwahi kusema kama wewe ni muoga huwezi kuongoza Zaire

Kuna siri kubwa hapa kati kati ya wazungu na Mobutu

Tuende kwa Wazaire wenyewe

Wazaire ukiwauliza je Rais bora wa muda wote Kongo ni nani, Watasema Mobutu
Watu husema
Congo + Zaire = Mobutu

Huyu mtu aliweza kulinda umoja wa nchi, Amani ya nchi Na kipindi kile ilikuwa fahari kuitwa mzairois

Kipindi kile Kongo ilikuwa one of the best powerful country in Africa

Nguvu zile zilikwenda wapi?

Amani ile ilikwenda wapi?

Umoja ulikwenda wapi?

FB_IMG_1666434003010.jpg
 
Ukifuatilia vizur,
1. Ukana Jinsi Wazungu wanavojitahidi kumchafua Putin

2. Afu ukaangalia jinsi gadafi na sadam walivouwawa kwa visingizio lukuki

3 Afu ukaona jinsi magufuli alivochukiwa na wazungu mpk anaingia kaburini

Hapo Ndo utaamini
Wale wengi tulioaminishwa kwamba Ni madikteta na magaidi hata aikua kweli.

Huenda Mobutu, idi Amin, Osama na wengine hawakua watu wabaya Kama tulivyoaminishwa
 
Huyo jamaa alichukua nchi ikiwa kwenye vita, hakukuwa hata na wasomi 10 wa chuo kikuu,

Juzi mke wake kasimulia kifo chake, ma dokta walimwambia hutoboi ,unakufa ,maneno yake ya mwisho kuongea ni "pardon" akimuomba msamaha mkewe
 
Idd Amin alikuwa mtu powa sana aliyependa utani kama General Muhozi alivo sasa, na alikuwa mwehu kiasi fulani,mfano,alimuambia "Mwalimu"

A Telegram to Julius Nyerere, President of Tanzania] I want to assure you that I love you very much, and if you had been a woman I would have considered marrying you although your head is full of grey hairs, but as you are a man that possibility does not arise"
 
Kwa hiyo unataka tuambia kichapo alichopewa Idd Amin ilikuwa ni maelekezo aliyopewa NYERERE na mabeberu wa Ulaya ama. Emu tueleze aseee
Ile vita mabeberu hawakuhusika sana, Nyerere aliwafadhili kina Museveni wakawa wanavamia UG, Idd Amin akawafukuza watanzania,wakenya kuondoka UG,hivo basi chanzo kilikuwa ni Amin kukerwa na Nyerere kuwa sponsor maadui zake

Nyerere alikubaliana na waganda wamlipe gharama alizotumiakumtoa Amin lakini hata hivo serikali ya Kikwete ilisamehe hilo deni sababu UG ilishindwa kulipa
 
Ukifuatilia vizur,
1. Ukana Jinsi Wazungu wanavojitahidi kumchafua Putin

2. Afu ukaangalia jinsi gadafi na sadam walivouwawa kwa visingizio lukuki

3 Afu ukaona jinsi magufuli alivochukiwa na wazungu mpk anaingia kaburini

Hapo Ndo utaamini
Wale wengi tulioaminishwa kwamba Ni madikteta na magaidi hata aikua kweli.

Huenda Mobutu, idi Amin, Osama na wengine hawakua watu wabaya Kama tulivyoaminishwa
Jiwe alikuwa hafai dhahiri,
 
Unatumia neno "huenda"
Ukifuatilia vizur,
1. Ukana Jinsi Wazungu wanavojitahidi kumchafua Putin

2. Afu ukaangalia jinsi gadafi na sadam walivouwawa kwa visingizio lukuki

3 Afu ukaona jinsi magufuli alivochukiwa na wazungu mpk anaingia kaburini

Hapo Ndo utaamini
Wale wengi tulioaminishwa kwamba Ni madikteta na magaidi hata aikua kweli.

Huenda Mobutu, idi Amin, Osama na wengine hawakua watu wabaya Kama tulivyoaminishwa
 
Hao viazi wote uliowataja wamejichafua wenyewe kwa umwagaji damu, machafuko na uporaji mali katika nchi zao.
Hii listi nzima ni watu waovu sana waliowahi kuja na kutembea duniani
Ukifuatilia vizur,
1. Ukana Jinsi Wazungu wanavojitahidi kumchafua Putin

2. Afu ukaangalia jinsi gadafi na sadam walivouwawa kwa visingizio lukuki

3 Afu ukaona jinsi magufuli alivochukiwa na wazungu mpk anaingia kaburini

Hapo Ndo utaamini
Wale wengi tulioaminishwa kwamba Ni madikteta na magaidi hata aikua kweli.

Huenda Mobutu, idi Amin, Osama na wengine hawakua watu wabaya Kama tulivyoaminishwa
 
Mobotu alimuua mtangulizi wake Patrice Lumumba na huo ndiyo ubaya mkubwa kabisa alioufanya
Rafiki yake pia Lumumba ndie aliemuingiza Mobutu kwenye game ya siasa walipokutana huko ughaibuni, kingine Mobutu aliwekwa pale kwa msaada wa hao hao "mabeberu" pia usisahau kuhusu matumizi yake mabaya ya pesa palace alizojenga, benz convoy, concord..n.k

Huyu dikteta kama wengine tu, perhaps rais mbaya kuliko wote.
 
Ile vita mabeberu hawakuhusika sana, Nyerere aliwafadhili kina Museveni wakawa wanavamia UG, Idd Amin akawafukuza watanzania,wakenya kuondoka UG,hivo basi chanzo kilikuwa ni Amin kukerwa na Nyerere kuwa sponsor maadui zake

Nyerere alikubaliana na waganda wamlipe gharama alizotumiakumtoa Amin lakini hata hivo serikali ya Kikwete ilisamehe hilo deni sababu UG ilishindwa kulipa
Na huo ndio ukweli Ambao wengi hawaujui au hawataki kujua.
 
Huyo jamaa alichukua nchi ikiwa kwenye vita, hakukuwa hata na wasomi 10 wa chuo kikuu,

Juzi mke wake kasimulia kifo chake, ma dokta walimwambia hutoboi ,unakufa ,maneno yake ya mwisho kuongea ni "pardon" akimuomba msamaha mkewe
Mobutu ndiye aliyeleta stability
Zaire (sasa Congo). Baada tu ya uhuru kulikuwa machafuko na kutokuelewana kati ys rais wa wakati huo Kasavumbu na waziti mkuu Lumumba; hata baada yz kuuawa Lumumba bado Zaire haikutulia hadi Jenerali

Mobutu ndiye aliyeleta stability Zaire (congo). Baada ya uhuru kulikuwa na .mahafuko yaliyktoka a na kutoelewana kati ya Rais Kasavumbu na waziri mkuu wake Lumumba. Hata baada ya kuuawa Lumumba Zaire haikutulia. Jenerali Mobutu alipompindua Kasavumbu ndio akaleta utulivu zaire.

Baada ya vita baridi kwisha akatoswa na mataifa ya magharibi ambayo yalinufaoka,na sera zake na ndipo mataifa majirani zake ambao walikuwa hawampendi kwa sababu ya kutofautiana kiitikadi wakaona ndio fursa ya kumpindua kwa kuunga mkono kijeshi vikundi vya uasi ambavyo viliundwa na wakina Dia wamba na Kabila (baba) . Tangu wakati huo zaire haijatulia hadi leo.

Kabila baba alizuia maiti yake isiletwe zaire kuzikwa ikabidi azikwe morocco ( chuki iliyopitiliza dhidi hata ya maiti).
 
Watu tuliaminishwa na watu wengine kuwa mobutu alikuwa raisi mbaya saana na yeye ndo chanzo cha vurugo za Kongo

Mwaka 1985 mobutu alikuwa anafanya interview na radio kutoka Ufaransa
Kuna maswali ambayo aliulizwa
Alisema kuwa kama zaire future yake itakuwa mbaya ni kwasababu ya wabeljiji na Wafaransa pamoja na wa Marekani maana ao ndo wana mpango wa kuaribu zaire ila kama mimi nipo madarakani icho kitu hakiwezi kutokea kamwe
Mobutu aliwahi kusema kama wewe ni muoga huwezi kuongoza zaire

Kuna siri kubwa hapa kati kati ya wazungu na mobutu
Mkuu kwisha , kiukweli kabisa, mabeberu ni watu wabaya sana!, angalia Iraq, kosa la Saadam ni utajiri wa mafuta!. Angalia Libya, kosa la Ghadafi ni kutaka kuwaunganisha wa Afrika tuunde USAf, japo US ndio the richest continent in terms of GDP, Africa ndio the richest continent in terms of resources na kuwa the poorest kwasababu wana plunders!. Ghadaf akashauri tuanzisha AfMF tuachane na IMF, tuanzishe AfB tuachane na WB, aliisha pandisha satelite tuachane na ITU, jamaa wakaamua he had to go!.

Hata hapa kwetu JPM alipowabana kulinda resilimali zetu kwa kubadili sheria ya madini, niliuliza humu, tutaweza kumlinda JPM? Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?

Baadaye nikauliza US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?

Where is he now?!.

Zaidi ya kutangaziwa ile siku, when the game was over long before, is anyone knows what really happened?.

P
 
Ukifuatilia vizur,
1. Ukana Jinsi Wazungu wanavojitahidi kumchafua Putin

2. Afu ukaangalia jinsi gadafi na sadam walivouwawa kwa visingizio lukuki

3 Afu ukaona jinsi magufuli alivochukiwa na wazungu mpk anaingia kaburini

Hapo Ndo utaamini
Wale wengi tulioaminishwa kwamba Ni madikteta na magaidi hata aikua kweli.

Huenda Mobutu, idi Amin, Osama na wengine hawakua watu wabaya Kama tulivyoaminishwa
Kumbe na mimi ni mzungu,maana nilumchukia magufuli
 
Back
Top Bottom