Mobutu ndiye alikuwa Rais mwenye nguvu wa mwisho wa DRC (CONGO)

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Habari
Ukifuatilia Historia ya DRC utaona inaongozwa na viongozi wengi wasio na uwezo wa kufanya CONGO kua nchi yenye nguvu kiuchumi, Kisiasa, Kiintelligencia na kijamii nchi ya CONGO imekua shamba la bibi yenye serikali zilizofeli muda wote.

Mpaka sasa kuna makundi 120 yanatawala sehemu tofauti tofauti huku serikali imejikalia Kinshasa haina habari. Ni sawa na mtu aliyepararasi miguu na mikono, wakati panya wakitafuna miguu na vidole vya mikono yake huyu mtu hana habar na wala hajui wala haoni jinsi panya wanavopanga na kusogea taaratibu kumshambulia.

Mobutu alikua raisi aliyechukiwa na baadhi ya wakongo man lakini ndiye alikua raisi mwenye nguvu. Jeshi lake lilikua imara kipindi hiko CONGO ndiyo ilikua inasumbua nchi zingine

Congo ilikua ikisapoti waasi wa ANGOLA walioongozwa na savimbi.

Kifupi kongo ilikua haishikiki mpaka pale msaliti au chama pinzani kijana Laurent kabila alipoungana na maadui wa kongo kutoka.

Rwanda, Uganda, Burundi na watusi/ wanyamulenge wa Mashariki ya kongo kupambana kwenda kumpindua

INASADIKIKA
Wazungu ambao mwanzo walikua rafiki zake walikua wanajaribu kumpindua kijeshi lakini ilikua ngumu kwan alikua analindwa na ulinzi wa Portugues (So intelligencia yake ya makao makuu ilikua siyo ya kitoto)
Kwaiyo unaweza ona kua Mobutu serikali yake haikua ya kizembe ziliungana nchi tatu na maelfu ya raia wake waliorubuniwa na wageni kwenda kumpindua.

Hivi leo
Jeshi legelege wengine wanagoma kupigana , Uwanja wa vita wengine wanakimbia nchi imejaa rushwa ,Jeshi halina displine .
Hamna Jeshi lisilo na displine au kuliko jaaa rushwa linaweza shinda vita NEVA

Mpaka leo Congo haijatulia mauaji hayaishi serikali ni mbovu kuliko wakati wwte ule.Nchi kubwa imebaki kulia lia.

Kwa muda mfupi mambo yamebadilika.Mobutu hakujiandaa kwa yajayo .

TANZANIA IS NEXT CRISIS ipo kwene same pattern
 
Ye ndo chanzo Cha vurugu za Congo zilizodumu hadi leo
Akimfadhili Savimbi dhidi ya serikali ya Angola,Makundi ya waasi dhidi ya serikali za Rwanda na Burundi
Si kweli chanzo ilikua ni Laurent kabila aliyesaliti nchi yake na wakongo wa Eastern walioungana na adui kuvamia nchi yao!!
Huwezi isariti nchi yako utegemee neema
 
In pursuit of its own objectives, the CIA strategically supported Mobutu's rise to power, viewing him as a reliable ally who could advance American interests in the region. By backing Mobutu, the CIA aimed to establish a political foothold in the Congo
Na sijui nini waliona hadi wakabdili wakaichagua rwanda
Actually its wasnt ally but a friends….Kwa africa hamna US ally kuna US friendship
Ambao kwa East africa ni Rwanda, kenya
 
Yupo kuzimu anachomeka anajutia mabaya aliyowatendea watu
Unauhakika aliwatendea ubaya??

Ili useme ni mbaya lazima ufanye comparison ukimlinganisha na rais gan??

Maana Mobutu hana wa kumlinganisha labda ukimlinganisha na nyerere lakini si na rais yyte yule wa africa mashariki
 
Dikteta Mobutu ndiye sababu ya haya yote yanayoendelea hadi leo.

Mimi naamini chini ya Hayati Patrice Lumumba Kongo inngepiga hatua kubwa sana kimaendeleo.Mungu amlaze malaha pema peponi.
Kuwepo kwa viongozi wanaoshindwa kuiimarisha CONGO kuna uhusiano gani na Mobutu ambaye ni marehemu.
DRC ilisaini mkataba na shetani kwa tamaa za Laurent kabila na ndio huo unaoitesa
 
Na sijui nini waliona hadi wakabdili wakaichagua rwanda
Actually its wasnt ally but a friends….Kwa africa hamna US ally kuna US friendship
Ambao kwa East africa ni Rwanda, kenya
CIA, Congo, USA, cold war, former USSR, collapse of the former Soviet Union, Mobutu's services as radical power in Africa (formally buffer against now mortally wounded communist Bear) no longer needed.

They used him, then dumped him like refuse garbage.


View: https://youtu.be/OpCb_Yg_qJA?si=6Y1aTrETV_gzKzVq
 
Kuwepo kwa viongozi wanaoshindwa kuiimarisha CONGO kuna uhusiano gani na Mobutu ambaye ni marehemu.
DRC ilisaini mkataba na shetani kwa tamaa za Laurent kabila na ndio huo unaoitesa
Damage aloiacha Mobutu Kongo sio ndogo ilifikia wakati alikuwa halipi mishahara ya Watumishi wa Umma sasa Watumishi wakaanzisha Sytem yao kuwa wao nao wanachukua rushwa WAZI WAZI na Majeshi yanachukua pesa kutoka kwa raia na zingine wanawatumia viongozi wao wa juu hadi zinafika Kinshasa.

Joseph Kabila kaijenga Kongo sana chini ya utawala wake.
 
Damage aloiacha Mobutu Kongo sio ndogo ilifikia wakati alikuwa halipi mishahara ya Watumishi wa Umma sasa Watumishi wakaanzisha Sytem yao kuwa wao nao wanachukua rushwa WAZI WAZI na Majeshi yanachukua pesa kutoka kwa raia na zingine wanawatumia viongozi wao wa juu hadi zinafika Kinshasa.

Joseph Kabila kaijenga Kongo sana chini ya utawala wake.
Mkuu joseph kabila ndiye alikua ana sideline na Uganda na rwanda
 
Mbona Keneth Kaunda alikuwa ni Mjamaa lakini hakuwa Mjamaa Hardcore na Zambia aliingoza vizuri kuliko Nyerere.

Labda Lumumba angekuwa dizaini ya Kaunda au hata Dos Santos wa Angola.
Unavosema Kaunda alikua Better zaidi ya nyerere unamaanisha nini??

unaweza ainisha catergory za ulinganifu
 
Mkuu joseph kabila ndiye alikua ana sideline na Uganda na rwanda
Nimeona Mabarabara aliyojenga huko Kikwit Tshikapa Madaraja mapya na kuna Makampuni ya Kichina bado yanaendelea na Ujenzi.

Jaribu kungalia yaliyofanyika Kongo wakati wa Utawala wa Joseph.
 
Back
Top Bottom