Mapya Yaja
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 560
- 403
Msimamizi (mkurugenzi wa halmashauri) atascan document ya matokeo iliyosainiwa na mawakala wa vyama vya siasa kwenda tume nao wataifungua mbele ya mawakala wa vyama na waangalizi wa uchaguzi watakao kuwa kwenye ofisi ya tume. ( haya aliyasema Mwanasheria wa tume ya uchaguzi jana ITV kwenye kipindi cha Mtiti wa uchaguzi)