Wandugu mwenyekujua nauli go and return Dar to South Africa

kuna tangazo la precision linasema usd 57,lipo kwenye michuzi blog,but in reality ni usd 200 return plus taxes,bei ya promo,ila kwa SA si chini ya Usd 400,better ingia kwenye google then search.
 
Sasa kwanini usifafanue aina ya usafiri ili watu wakutafunie maana wewe inaonesha bado u wa pentium one, hivi umeshindwa hata kuchungulia webpage ya PW?!, bei ya ungo au fisi siwezi kuijua. Ciao.
Dar to south
 
Bandugu kwa faida yenu wote hamna ticket inayoitwa 'go and return' tiketi ya kwenda na kurudi inaitwa 'return ticket' ya kwenda tu inaitwa 'one way ticket'.
 
Tena yawezekana hata Ram ni 16mb
Sasa kwanini usifafanue aina ya usafiri ili watu wakutafunie maana wewe inaonesha bado u wa pentium one, hivi umeshindwa hata kuchungulia webpage ya PW?!, bei ya ungo au fisi siwezi kuijua. Ciao.
 
wabongo tuache uvivu,fungua webåpage ya precision, southafrica airline,
just right flights from dar to south africa(specify your destination) rahis kabisa.
utaona options unachagua.acha hizo
 
Nazidi ku-prove kuwa kweli wabongo kweli wavivu wa kusoma. Wanapenda kudesa.

Jaribu kupitia website za mashirika ya ndege, utapata majibu ambayo ni accuracy zaidi.
 
Back
Top Bottom