Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

^^
Nimewahi kusikia mahali kuwa ni wazuri katika biashara,pia ukiwaoa ukawa msikivu ktk ushauri wao unaweza kuwa tajiri.
Sikuamini maana isiwe kama maneno mbofu mbofu ya Hayati Mr.Ebbo
^^
Ni kweli hata mie nimesikia hiyo aiseee...

Pia nasikia huwa hawana mambo ya kike kike ya wivu wa chini chini na tabia za umbea umbea usio na maana . Lakini pia huwa ni wababe sana sometimes.
 
Na kwa kuongezea...ni watamu sana..mie ninaye. Asikuambie mtu..pia ni smart kichwani...na wanaweka hoja mezani kiasi kwamba ukiwa legelege anakuwa yeye baba wewe unakuwa mama. Kifupi ni majembe na ndio maana wengi wao wana-mafanikio ki-maisha. Go geter attitudes.

Mimi nafikiri ni coincidence hapo kwenye utamu, ninae mmoja mwenye vindevu, amewazidi wengine wote, nikimuona tu hata kama nimechoka vipi dushelele inaamka.
 
mmi mwnywe nina vijidevu vinne virefu kidogo,huwa watu wananisifia kwa upole,ukarimu na mvumilivu kwenye ndoa,na wengne husema eti ni kwa sabbu ya vijidevu vyangu,
 
Mimi nafikiri ni coincidence hapo kwenye utamu, ninae mmoja mwenye vindevu, amewazidi wengine wote, nikimuona tu hata kama nimechoka vipi dushelele inaamka.

dah! hii kitu itawafanya watu waanze kuwakomalia ati..
 
kuna wale wenye ndevu ambazo zimechomoza kutokana na madhara ya skin bleaching.vp nao wanaingia ktk kundi la wenye mafanikio:tongue:
 
kuna wale wenye ndevu ambazo zimechomoza kutokana na madhara ya skin bleaching.vp nao wanaingia ktk kundi la wenye mafanikio:tongue:

inategemea sana!
hapa tunazungumzia zile zinazoota just kutokana na maumbile....
 
Bujibuji & who cares mmenena. Ninazo za kujificha mbele ya kidevu... kiukweli nipo fit kimaendeleo, Nina MTT mmoja Nina kazi safi, nyumba na gari Vila kusahau cheo according to proffesion... wanaume hawaniwezi nkisema nimesema...kuniacha hawawezi mpaka nitake. Mmh
 
Back
Top Bottom