wanawake wenye adabu na hekima

katika hili hakuna cha kabila. La msingi hapa ni mahali mtu alipokulia, malezi, mazingira na hulka yake yeye mwenyewe. Mimi wa kwangu ni mgoni lakini ni moto!!!!!!!!!!!!
 
Mi naamini kila kabila lina exceptions,.thats why the world of today has broken most of the strings leading to nationality,religion,etc..Tribes do not have a great influence on women or men when it comes to their behaviour as what makes a person is not his or her family/tribe its him or her as person(the inner part of a person),.If you had asked this question in a history class then you could get a direct answer but if ts a way of knowing a person,i personally dont think its right..respect comes from the heart,not just bowing!physiques can never give you that answer(starting with the tribe0
 
Tabia ya mwanamke haiwezi kupimwa kutokana na kabila au dini yake .....Tabia ni kitu kingine kabisa kila kabila lina kasoro zake wapo watasema wavumilivu wengine watajisifu wachapa kazi na sifa nyingine nyingi ila ukweli kuhusu tabia na heshima ya mwanamke huwezi kupima kutokana na kabila lake.
 
mwanamke mzuri ni yule mwenye hofu ya mungu . hamna cha kabila wala nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom