Bongemzito
Senior Member
- Nov 5, 2010
- 162
- 19
Wanavumilia yapi?
Unafahamu kwenye ndoa kuna shida na raha,wao wanavumilia mengi,waliowengi ukiondoa hao niliowataja(wahehe na wabena) si wepesi kukata tamaa kwenye ndo lakini kuna makabila fulani fulani ivi wenyewe ni wepesi sana kuvunja miiko....
Pia hawa wahehe na wabena ni wakarimu mno yaani mpaka mwenye utapenda....nasema ivyo kwani nina ushaidi ninaye mke wangu mtarajiwa yupo ivyo.....nilivyokuwa shule iringa niliwaona pia..