Wanawake wengi ukiwatongoza tu anakwambia simu yake imeingia maji

Ni njia ya upoleya kumnyima mwanaume namba pia... Leo nikamdanganya mkaka wa watu kua nimeibiwa simu, akasema nipe tu namba nikamwambia sijaikariri... Hapohapo simu ikaita ndani ya pochi nilionaje aibu!!!
 
Unamnunulia tu simu mpya
Mimi yangu imepasuka screen ilidondoka kwenye mawe! akinikosa whatsapp na kwingineko asishangae nishamuarifu! Mbaya zaidi kwenye camera ndo pameharibika mnooo so habare ya picha na kujirekodi ndobasi tena. Akitazitaka ajiongeze ila mi namute tu!
 
Asipokununulia nkuletee iphone mpya kbs
 
Ni njia ya upoleya kumnyima mwanaume namba pia... Leo nikamdanganya mkaka wa watu kua nimeibiwa simu, akasema nipe tu namba nikamwambia sijaikariri... Hapohapo simu ikaita ndani ya pochi nilionaje aibu!!!
Ikabidi umpe tu
 
Kweni raha tunapataga sisi wanaume peke yetu?wamezidi aisee
1 simu mbovu
2 kodi imeisha
3 gas imekata nataka kuagiza boda boda ila sina pes
4 simu yangu haina credit
5 mtoto shule anadaiwa ada na baba yake kanitelekeza
6..........yaani tabu tupu.
Mwanaume mateso ndugu yangu

Sasa je ukiambiwa wanataka tv flat inch 50,si unaweza kukimbilia msumbiji?!
 
Kweni raha tunapataga sisi wanaume peke yetu?wamezidi aisee
1 simu mbovu
2 kodi imeisha
3 gas imekata nataka kuagiza boda boda ila sina pes
4 simu yangu haina credit
5 mtoto shule anadaiwa ada na baba yake kanitelekeza
6..........yaani tabu tupu.
Yaani mi nimejaribu kujitahidi kumuomba mwanaume hela ata vocha ya jero nimeshindwa!!!
 
Back
Top Bottom