Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

cluster ndara

JF-Expert Member
Apr 1, 2018
211
318
Hivi mwanamume mwenye akili timamu aliesoma mwenye dira ya kimaisha unaenda kuoa mwanamke kimbau kisa ni msomi au anasura nzuri.

Mwanamke mwembamba hawezi kuwa kwenye bonge la nyumba akaonekana ni mama mwenye nyumba huonekana kama msichana wa kazi tu.

Unatembelewa na rafiki yako anaingia sebuleni anamkuta kimbau kinapebea kwenye makochi, yani ukiwakuta wamekaa kwenye kochi utadhani ni msichana wa kazi, haya sasa aingie kwenye gari mnaenda kanisani anakaa robo siti yani kuna wakati unafikiri uko peke yako.

Mtu akikuomba lifti ukisimama anafungua mlango wa mbele akidhani uko pekee yako, akifungua wala kumbe kuna mtu.
 
Yani mke bwana awe mnene hata Kama sio Sana akikaa ndani anajaaa ukisema huyu ndio Mamma watoto yes akikaa kwenye gari mnasafiri ajae kwenye siti akikaa kwenye Koch amepiga bukta ajae kwenye koti Akivaaa Della aonekane kiuno matako mgongo na kifua sio mwanamke akivaa Della unatembea nae watu wanadhani uko na ustaadhi
 
Yani ukimpa gari aendeshe bwanaa weeee utadhani gari inajiendesha yenyewe maaana Hawa huwa gari linawavuta wanaendeshwa na gari badala Ya kuliendesha Hawa bhana kila sekta hawanogi eti wanavaaa kitandani maaana wanakunjika heeee mke wa ndani hakunjwi hufanywa taratibu kieshima mwendo wa taratibu taratibu kukunja hukunjwa michepuko
 
Hivi mwanamume Mwenye akiri timamu aliesoma mwenye dira Ya kimaisha unaenda kuoa mwanamke kimbau kisa ni msomi au anasura nzuri
Jamani mwanamke mwembamba hawezi kuwa kwenye bonge la nyumba akaonekana ni mama mwenye nyumba huonekana Kama msichana wa kazi tu, unatembelewa na Rafiki yako anaingia sebureni anamkuta kimbau kinapebea kwenye makochi jamani yani ukiwakuta wamekaaa kwenye kochi utadhani ni msichana wa kazi haya sasa aingie kwenye gari mnaenda kanisani anakaaa robo siti yani kuna Wakati unafikiri uko pekeee yako mtu akikuomba rifti ukisimama anafungua mlango wa mbele akidhani uko pekeee yako akifungua walllllaaaa kumbe kuna mtu
Unatazama unene kama kigezo cha kuoa?
Kazana mkuu.
 
Mkuu hizi mambo hazina formula. Ukienda Europe wadada wanajiua kwa kuwa wanene ilihali hapa bongo dada zetu now wako busy kwenye diet na detox kukata unene.

Selfie tu ndio zimesababisha wadada watamani unene ila wa matako ili wakibinua kiuno aonekane Msambwanda upo - sijui ndio nyumba choo ama thamani ya kondoo mkia!!
 
Yani ukimpa gari aendeshe bwanaa weeee utadhani gari inajiendesha yenyewe maaana Hawa huwa gari linawavuta wanaendeshwa na gari badala Ya kuliendesha Hawa bhana kila sekta hawanogi eti wanavaaa kitandani maaana wanakunjika heeee mke wa ndani hakunjwi hufanywa taratibu kieshima mwendo wa taratibu taratibu kukunja hukunjwa michepuko
hapo ndio mwisho wa upeo wako wa kuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom