wAnAwAkE wAwIlI wAkIwA hAhErA

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
W'ke wawili yaani X and Y walikufa kisha kukutana ahera,
X:alimwuliza Y mwenzangu ulikufaje?
Y:Akamjibu nilikufa nikiwa kwenye friji, na wewe mwenzangu je??
X:Nilikuwa nimetoka sokoni, narudi nyumbani ile nafungua mlango nikamkuta mme wangu akiwa amekaa sebuleni kwenye kochi akiwa mtupu kabisa yaani uchi, na si kawaida yake.Nikajua kabisa lazima alikuwa anazini na mwanamke, bila kumwuliza,nikaanza kumsaka huyu kahaba, huku na kule katika harakati ya kupanda first floor kumsaka nikateleza kwenye nga9i nikateleza kwenye ngazi na kuvunjika shingo papo hapo nikapoteza uhai.
Y:Akadakia, akasema mwenzangu kumbe ungekuja kwenye friji kunitafuta wöte tusingekufa.
 
Kumbe ndiye aliyemwibia mwenzake akajificha kwenye friji;alikuwa size gani ?most probable kaportable !
 
Hahahahaha, i av to admit al copy n paste it on facebuk 2rw, wether u like it or nt..hahaha, teh teh, kwi kwi..mweeh
 
Hahahhaaa..! Sasa Y anajutia au? Mnh ila kufumaniwa nako huenda angekufa kfo kbaya zaid..!
 
W'ke wawili yaani X and Y walikufa kisha kukutana ahera,
X:alimwuliza Y mwenzangu ulikufaje?
Y:Akamjibu nilikufa nikiwa kwenye friji, na wewe mwenzangu je??
X:Nilikuwa nimetoka sokoni, narudi nyumbani ile nafungua mlango nikamkuta mme wangu akiwa amekaa sebuleni kwenye kochi akiwa mtupu kabisa yaani uchi, na si kawaida yake.Nikajua kabisa lazima alikuwa anazini na mwanamke, bila kumwuliza,nikaanza kumsaka huyu kahaba, huku na kule katika harakati ya kupanda first floor kumsaka nikateleza kwenye nga9i nikateleza kwenye ngazi na kuvunjika shingo papo hapo nikapoteza uhai.
Y:Akadakia, akasema mwenzangu kumbe ungekuja kwenye friji kunitafuta wöte tusingekufa.
waonaje ukipaste original copy?????????:A S-coffee:
 
heheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom