Wanawake wataka wanaume zaidi ya mmoja

Shansila

Senior Member
Jan 28, 2012
189
36
Katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani,shirika la utangazaji la bbc limemkariri mwanamke katika moja ya maadhimisho hayo mjini Kampala nchini Uganda akiwahimiza wenzake kudai haki ya kuolewa na wanaume (mume zaidi ya mmoja) kwa wakati mmoja kama wanavyofanya wanaume ambao huoa wanawake kadhaazMwanamke huyo alienda mbali zaidi na kutaka yeye(mwanamke) ndiye
awe mkuu wa kaya na wanaume wapeane zamu za kwenda kuhudumiwa,akimtolea mfano mfalme Mswati wa Botswana ambaye ana wake wengi ambao huenda ktk kasri la mfalme kwa zamu na kwa matakwa ya mfalme.
 
hapo itakua balaa tupu sijui hiyo nyumba itakua na heshima gani na watoto watakua wanajifunza nn?
 
System ya mwanamke kuoa wanaume wawili au zaidi inatwa POLYANDRY.
Si kitu kigeni hapa Dunia Huko North India kuna kabila dogo watu la 30,000 katika eneo la Himachal Pradesh bado wana mila hiyo. Mostly bothers na causins ndiyo huchangia mke. mara zote mwanaamke huwa na Umri mkubwa kuliko waume zake.

Mnapangiwa zaamu kama kawa.

Leo wewe Majuto (24) ni zamu yako kwenda kukatia nyasi ngombe tunahitaji mizigo 10.

Kitochi (30) unatakiwa kwenda kumwagilia Bustani na kutifulia mimea kisha weka mbolea

Wambili (27) nenda mjini duka la jumla kalete mali mpya laki 5 hiyo hapo.

Mimi Mlimbwende (35) na Mipigo (21) tutakuwa hapa nyumbani kufanya usafi wa ujumla ndani ya nyumba.

Wote mnajua ni nani leo ni zamu yake kupiga.

Polyandry, or the practice of one woman marrying two or more husbands simultaneously
 
Itachukua muda kuhalalishwa kwa patrilineal.
Mila za kiafrika- ni kawaida mwanaume kuwa na wanawake wengi, ni kawaida mwanamke kujitahidi kuwa mwaminifu kwa mume wake, hata kama mume wake ana wengine.
Labda kwa matrilinial- ambapo mjomba ndo mwenye sauti.
 
Thank Allah I am muslim

Huu upuu.zi wanawake na wanaume wa kiislam hawataukubali

Nitahama karikoo jambo hili likiruhusiwa Tanzania

Naenda zangu kijijini mara kwa wakurya
 
Nadhani sasa wanawake wanadhihirisha yale yaliyo nyuma ya kile wanachodai 'usawa'.
Nilidhani wanahitaji haki ya kupata elimu, kazi, makazi, kuheshimiwa, na mengine ya msingi.
Huwezi kufananisha African woman na Indian woman, culturally wapo tofauti na hata maadili ni tofauti.
No wonder siku watasema style ile ya kifo cha mende inawadhalilisha!
 
Mbona hatushangai dume kugeuzwa na kupigwa?
Kuna Njemba Kaiakoo zimeowa lakii bado zinapigwa tena na njemba nyingine kibao.

Sasa kama umeoa mke kisha unapigwa mjengo na wanaume wengine kuna tofauti gani njemba hizo zikipiga mkeo vile vile?

Mke kuoa wanaume wawili au njemba kuoa mwanamke mmoja kisha kupigwa na wanaume wengine???
Kuna mila hapo??

Wanawake wanasagana kishenzi na kuna wanawake wameolewa lakini bado wanasagana na wanawake wengine.

Sijuimila na desturi zinakuwa wapi yote hayo yakitokea??
 
Hivi dunia hii kuna mtu anamzuia mwanamke kuwaweka kinyumba wanaume wengi kiasi kwamba wanataka wanawake waruhusiwe? Waruhusiwe na nani?? Mwanamke kama ana kifua cha kuwahimili wanaume zaidi ya mmoja, awalipie kula na kulala, awe anawatunza kwa kila kitu; atakosa wanaume wa kwenda kwake???

Hakuna mwanamke anayezuiwa kuoa wanaume kama Mswati alivyooa wanawake wengi. Ila ili afanye hivyo inabidi awe na status ya Mswati. Pale kwa Mswati wanawake hawaburuzwi kwenda, wanapanga foleni Mswati anachagua anayetaka.

Kama kuna mwanamke anaweza kuwahimili wanaume wengi kwa nini asifanye hivyo? Akipata wanaume ambao wanapenda hivyo si tatizo. Lakini akiwakosa asilalamike, Mswati akikokosa wanawake unadhani atatumia bunduki kuwaleta??

Let the women play their game, but they should know their limits!!
 
Back
Top Bottom