Wanawake wasiokuwa na hela waachie Wazee (Mababu)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Habari zenu,

Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi. Utanishukuru!

NB: MADEMU KAUSHA DAMU NDIO NAWAONGELEA HAPA.
 
Nasikia Kuna punyeto ya kuweka nzi kwenye mfuko wa nailoni afu unafunga dushe....Kama huwezi kuhudumia kajiunge huko.
 
Habari zenu,

Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi. Utanishukuru!

NB: MADEMU KAUSHA DAMU NDIO NAWAONGELEA HAPA.
Kwa kweli wacha tu iwe hivo ilmradi pesa tunapewa.
Kina dada oyeeeeeeee.
 
Habari zenu,

Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi. Utanishukuru!

NB: MADEMU KAUSHA DAMU NDIO NAWAONGELEA HAPA.
Hawa wazee wanataki wakusanywe sehemu moja wafichwe huko watuzwe kama wanavyofanya wenzetu mambele kwasababu wanatuharibia mabinti wake zetu wa baadae na kuwafanya vijana kutokua na fikra chanya kuhusu uchumi kubakia kuwaza mapenzi tu. Hawa ndiyo wanaochochea moto wa kausha damu uzidi kuunguza vijana wakamatwe wawekwe sober
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom