Wanawake wasio na kucha miguuni!

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
Hivi unajisikiaje kumkuta binti kigoli hana kucha katika vidole gumba vya miguuni.wengine wanajitaidi kuvipga rangi lakini wapi!

nitarejea kidogo
 
kwanza swali lako yaelekea limekutatiza sana! umeuliza kimkato, siwezi jua hii inawahusu wanaume zaidi, ila nimependa pia avatar yako! nimeconect avatar na swali, nimebaki nacheka tu hapa, umenipa smile mchana wa leo!
 
unamuwekea vya bandia
Jana-Nails3.jpg

mwanamke matunzo kaka...hakuna mwanamke mbaya duniani..wewe muwezeshe tu uone kama lundega hajaanza kumfata...pesa sio mchezo ...inafanya barafu kuwa moto
 
it is ok , moyo wangu uwa unakuwa ZZZZzzzzzzzzzz with LOVE , kwa tabsamu , miguu uwa siangalii kabisa, to me is OK, awe na kucha asiwe nazo , it is OK, labda awe kibogoyo ninaweza nikajali
 
paty hii avatar yako dogo huyo anagonga mambo ya kwaito au? inanichekesha sana...hahahahahahaha!!!! thanx!

avatar yako mimi mbavu sina!kucha kitu kidogo usimaindi!
Hivi unajisikiaje kumkuta binti kigoli hana kucha katika vidole gumba vya miguuni.wengine wanajitaidi kuvipga rangi lakini wapi!

nitarejea kidogo
 
Kwani ukimpenda unaanza kupenda kucha au tabia au ah nimefunga usinifungulishe....
 
paty hii avatar yako dogo huyo anagonga mambo ya kwaito au? inanichekesha sana...hahahahahahaha!!!! thanx!
usikonde mkuu , kanapiga swaga za kimakonde izo jamiif you are welcome kwa kuipa tik iyo avatar
 
Last edited by a moderator:
kucha mbona ishu ndogo mkuu............je ukikuta shavu zimekwanguliwa nayo utasema humu jf?
 
natafuta picha ya vidole visivyo na kucha sijapata ndo mtajua namaanisha nini
 
kumbe wewe mzushi basi ..unatafuta picha ya nini? weka iyo ya kwake tuone..wewe sema tu umemchoka dada wa watu bana
 
Me naona si tatizo na kucha haziwezi kukwamisha mapenzi.
 
unamuwekea vya bandia
Jana-Nails3.jpg

mwanamke matunzo kaka...hakuna mwanamke mbaya duniani..wewe muwezeshe tu uone kama lundega hajaanza kumfata...pesa sio mchezo ...inafanya barafu kuwa moto

:biggrin1: aisee hiyo ni kweli kuna mdada mmoja mweusi usi hivi hua namuonaga mbaya mh kuna siku nikamuona kwenye harusi alikua kashaenda salun amevaa vizuri mh sikuamini..kwanza hata hakua mweusi tena alikua mweupe sa sijui ilikuaje pale, alivutia ghafla...kweli mwanamke ni kutengenezwa na siku hizi kila kitu kipo
 
kuna hadi lips za bandia
 
unamuwekea vya bandia
Jana-Nails3.jpg

mwanamke matunzo kaka...hakuna mwanamke mbaya duniani..wewe muwezeshe tu uone kama lundega hajaanza kumfata...pesa sio mchezo ...inafanya barafu kuwa moto

mmh hizo za bandia zitapandikwa juu ya ngozi Smile?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom