Wanawake wanene makes good couple/wives; personal experience

Okay, i got you broda......if you mean "a myth" but if you mean some sort of "erroneous belief" then naondoa shilingi.......si unajua kila mtu na experience yake broda.....

Its neither a myth nor an erroneous belief bro...You are just lucky.
 
What makes a good couple/wife is a woman herself, regardless of the size/shape of her body. You do not need a University degree to proove this. I am wondering what kind of research have you conducted to come to your conclusion; what was your sample size, unity of analysis and the like......

Just a simple point: look at sizes of women around you (mother, sisters, aunties etc)? What can you say about their sizes and their relationship?
 
Bora tumepata shavu, ni kweli kuna mtu mmoja aliniambia anapenda wanawake wanene sababu ni wakarimu sio wasumbufu, wembamba wanajidai sana na viburi juu, wanene ni wapole na wana heshima....nika mbishia kumbe kuna wengine pia wanaona hili? natamani apitie humu asome hii
 
Watu wengi wanasema hivo sina hakika embu wanaume jitokezeni mujibu hili, leo nitakula kiti moto kilo mbili nisije achwa

Fanya haraka kale kiti moto, ukweli ndo huo, ANGALIZO: Ila kama una MR Angalia alikupenda ukiwa na shape gani!!!!
 
lol, naona umeshafika bei wewe sasa unatafuta means ya ku-justify uamuzi wako. Mkuu go ahead and knock ya' self out..huhitaji justification ya mtu kuhusiana na masuala ya moyo. Ila mie nna mkosi na wanene na staki kuwaskia tena. :rant:

Dah, i feel so pity broda.....few exceptions applies...haaaaa
 
What makes a good couple/wife is a woman herself, regardless of the size/shape of her body. You do not need a University degree to proove this. I am wondering what kind of research have you conducted to come to your conclusion; what was your sample size, unity of analysis and the like......

Just a simple point: look at sizes of women around you (mother, sisters, aunties etc)? What can you say about their sizes and their relationship?

Broda bila hata kupingana na wewe kwenye red nakukubalia sana...lakini unajua nini, zile picture za kwenye shows na exhibition mbalimbali za cute wasichana wembamba na zile za kwenye miondoko zimeshalitoa hili kwao.....fuatilia utaniamba

Kuhusu research kama nilivosema awali, hapa ndipo tunapoanza, i share my experience, you share yours and the others also mwisho tunapata conclusion.......Hata hivyo kama nilivyosema awali this is not a universal thing and few if not many exceptions also occur
 
Bora tumepata shavu, ni kweli kuna mtu mmoja aliniambia anapenda wanawake wanene sababu ni wakarimu sio wasumbufu, wembamba wanajidai sana na viburi juu, wanene ni wapole na wana heshima....nika mbishia kumbe kuna wengine pia wanaona hili? natamani apitie humu asome hii

Bila kuongeza neno kwenye red....ndicho nilicho-experience.............ukijumlisha unono wa kulaza kichwa kwenye "boobs" ....lol, we acha tu
 
Its neither a myth nor an erroneous belief bro...You are just lucky.

Hhaaaa, come on men....you make me smile......umemsoma mkuu Abdulhalim? kakumbwa na "exception applies"....hahaaaa
 
See thin women when are naked, definitely, they are not attractive, they neither don't have hips nor wide chest. what you can observe are fibre muscles spreaded all over the body. It is terrible when they widely opened their legs ready for............I really love big women.
 
Ukubwa mnaoongelea hapa ni upi haswa?!Maana kuna kua mnene na kua na curves bila kua chibonge!!
 
Watu wengi wanasema hivo sina hakika embu wanaume jitokezeni mujibu hili, leo nitakula kiti moto kilo mbili nisije achwa
Usiniache shosti mwenzangu kama mambo yenyewe ndio haya??? na kuna wengine wengi tu humu wanapenda vinene sio peke yako mtoa thread we subiria atajitokeza muda si mrefu
 
Ukubwa mnaoongelea hapa ni upi haswa?!Maana kuna kua mnene na kua na curves bila kua chibonge!!

Mama Mch bana.....hapa sizungumzii hasa wale ambao duhhh!!!! (hope umenielewa, some kind of "obese")

Soma kalink haka huyu jamaa tunagongana mawazo kwa sana, and i think we share similar experienceIn Praise of BIG Women
 
Basi sema wanawake wenye curves na sio wanene.Maana wapo wanene wasio na curves zaidi ya upana wa tumbo kuzidi upana wa
hips na ukubwa wa tumbo kuzidi wowowo!!!Hehehhee...nwy hongera kwa kupenda wanawake wenye shape za kibantu!!
 
Kwa kweli nakubaliana na hilo kuwa wanawake wanene watamu. Mie wife wakati nakutana naye 2000 alikuwa mwembamba ofcoz alikuwa pouwa pamoja na hayo kwa sasa maenenepa si unajua tena mambo ya uzazi. Tuna watoto wawili na mama sasa kajazia. Kila nikiwa naye kwa bed najisikia raha sana. Ila mautamu yanapatikana sana kifo cha mende halafu miguu aikunje maana bila hivyo unaweza kuishia kula mapaja tu ha ha ha. Big up wanawake wanene
 
Haya mama nimekuelewa....si unajua tena lugha gongana ahaaaa..........
 
Kwa kweli nakubaliana na hilo kuwa wanawake wanene watamu. Mie wife wakati nakutana naye 2000 alikuwa mwembamba ofcoz alikuwa pouwa pamoja na hayo kwa sasa maenenepa si unajua tena mambo ya uzazi. Tuna watoto wawili na mama sasa kajazia. Kila nikiwa naye kwa bed najisikia raha sana. Ila mautamu yanapatikana sana kifo cha mende halafu miguu aikunje maana bila hivyo unaweza kuishia kula mapaja tu ha ha ha. Big up wanawake wanene

Hhaaaaaa, Mkuu you make me day......acha kabisa, ukijiegemeza kwenye boobs zile unasahau shida zote........raha tupu
 
Back
Top Bottom