Wanawake wanaoshindwa mambo haya ndoa hamna

PARADIGM

JF-Expert Member
Sep 9, 2014
2,774
1,815
Za leo wanajamvi. Kumekuwepo na maswali mengi kutoka kwa wanawake kwamba wanaume huangalia vitu gani kwa mwanamke ili kufanya maamuzi ya ndoa.

Nimeona niwashirikishe makala hii niliyoipata gazeti la majira la leo. Linaeleza mambo makuu matatu ambayo kwa upande wangu nayaafiki kwa 100% kwamba ndiyo ya msingi. Mambo haya ni tabia nzuri, mshauri kimaendeleo na mvumilivu.

Nakaribisha michango yenu.
 
article
 
Attachments

  • 1441521675975.jpg
    1441521675975.jpg
    43.8 KB · Views: 1,186
Mmmmh!! Nasi tumechoka sasa kuvumilia daaah!! Tunavumilia hadi mnatuua tukiwaangalia tu!! Nyie mbona hamtuvumilii??
 
Mmmmh!! Nasi tumechoka sasa kuvumilia daaah!! Tunavumilia hadi mnatuua tukiwaangalia tu!! Nyie mbona hamtuvumilii??

Kwa bahati.mbaya hicho ndo kipimo cha kwamba mke mko.pamoja. Siyo anajifanya I love you..mambo yakienda vibaya hata mwezi mmoja tayari mke.kalianzisha. Hiyo.ndo maana yake.
 
Hayo mawili sawa kwenye kuvumilia inategemea kuvumilia nini??sasa unipige nikuvumilie ili iweje?uwe malaya nikuvumilie ili uniletee magonjwa au??
 
Ndio maana nasi uvumilivu now tumewaachia viatu.

Shemeji imeandikwa hivyo hatakwenye vitabu vitakatifu kwamba muwe wavumilivu hamna namna...
Hakuna raha kwa mwanaume kama kuwa na mwanamke mvumilivu
 
Kwa kizazi cha sasa hivi ni ngumu sana kwa mwanamke kuvumilia nyege na saa zote wapo km wamejitoa ufahamu.
 
Shemeji imeandikwa hivyo hatakwenye vitabu vitakatifu kwamba muwe wavumilivu hamna namna...
Hakuna raha kwa mwanaume kama kuwa na mwanamke mvumilivu

Oooh! Vitabu gani hivyo? Mie uvumilivu aliondoka nao bibi yangu akasahau kuniachia, sivumilii uduwanzi hataaaaa!!
 
Oooh! Vitabu gani hivyo? Mie uvumilivu aliondoka nao bibi yangu akasahau kuniachia, sivumilii uduwanzi hataaaaa!!

Sasa shem na kupata wale wanaume wasiosumbua wale waliotokea sayar ile mpya ni vigumu sana....

Kuna binti yeye philosophy yake ni

"ukiniudhi tu nakureplace''
 
Sasa shem na kupata wale wanaume wasiosumbua wale waliotokea sayar ile mpya ni vigumu sana....

Kuna binti yeye philosophy yake ni

"ukiniudhi tu nakureplace''

Kusumbuana na jitu zima na midevu yake ya chuma kisa!!! Yake ina dhahabu au? Kama hajitambui asinipe pressure mie, nakureplace fastaaa
 
Back
Top Bottom