Wanawake wanaodai kuhudumiwa kipindi cha uchumba ni chuma ulete waliolaaniwa

Unaweza kufikiri watatumia busara kupita kimya kimya ila sasa badala yake wanamsuta kabisa mtoa mada kama vile kupewa hela na mwanaume ni haki yao.
Unakuta unamtongoza alafu anakwambia nina mtu wangu ananihudumia vzr after dayz 3 anakuomba hela.. ukimnyma anakuchukia na block juu as if wewe ndio boy wake 😅
 
Ndugu ..

Watasema kama unataka utelezi hudumia ili kuhalalisha utapeli wao ila itabaki kuwa kweli wanamke walio laaniwa na kusukumiwa mikosi yote ya chuma ulete ndiye mwanamke pekee anayeweza kumdai mwanaume hela ya matumizi na kuhudumiwa kipindi cha uchumba kabla ya ndoa huku akimbebesha mwanaume majukumu ya wazazi wake

Tunaona Katika maisha ya sasa kumeibuka wimbi kubwa la wanawake kudai na kuona ni haki yao kuhudumiwa na wachumba zao jambo ambalo ni laana na ubatili mtupu na haliwezi kumuingia akilini mwanaume mwenye nia ya dhati kuoa. Haiwezekani kipindi cha kupimana, kujuana na kupanga mipango ya pamoja ewe mwanamke ugeuze ndiyo sehemu ya kumwaga matatizo yako yote na kulia njaa za hovyo kama kikaragosi kilicho laaniwa.

Mwanamke unatega utongozwe , wanaachwa wanawake wenzako unafatwa wewe badala ukae utulie na unyooke uolewe ukahudumiwe ndani ya ndoa tena kwa kumsaidia mumeo wewe unajitegesha kwenye mahusiano ya kimapenzi kama chuma ulete wa hela za mwanaume huku ukiweka nyapu yako kama mdhamini wako

Utakuta binti mzima kabisa, siyo mlemavu, siyo mgonjwa, siyo yatima wa wazazi wote tena ana nguvu na elimu yake nzuri ila utasikia ""ni hudumie mara nitunze ni haki kunitunza" , mwingine pasi na kufikiria anaomba hela hovyo kama kibaka aliye sahaulika, sasa jiulizeni kama siyo laana wanayo hawa viumbe ni kitu gani, wewe mwanamke badala utumie kipindi cha uchumba kumshawishi mwanaume akuoe ukawe mke wake akakuhudumie huko ndoani unatumia kipindi cha uchumba kujionyesha kuwa ni malayer, omba omba, mwanamke asiyefaa kuolewa na tapeli wa hali ya juu.

Ni mwanaume gani atakaye weza kuishi na mwanamke mwenye *red flag ya laana ya omba omba , unaomba huduma kama nani kwa mwanaume wewe kipindi cha mpito cha uchumba. Mwingine kana kaa kwao ila utasikia eti baby ni hudumie gesi imeisha, sijala , unga hamna, nataka nikasuke, mara nataka kufua sabauni hamna, hujakaa sawa kamejaa laana kana kuambia ni nunulie spray ya nguo, mara ile ya nywele mbaya zaidi utasikia baby leo ni zamu yetu ya kulipia umeme naomba hela ni nunue luku. laana tupu hizi kwa kweli

Zaidi sana na laana zake utasikia baby ni hudumie kwa kunitoa out tukaenjoy viwanja huko, nakuna yule mwingine anakuambia kabisa eti baby kodi imeisha sasa hapa mwanaume unajiuliza wazazi wake ndiyo wamepanga yeye inamuhusu nini.

hawa wanawake ni balaa waliojaa laana na nuksi kali wengine wanajiita wasomi, wanadai haki sawa , mafeminist hana hata hulka za kike , kengine katomboy ila utasikia mara na daiwa ada. Kengine kenye laana kali katakuambia naomba hela ya matumizi

Hizi siyo laana ni nini, hivi sisi wanaume na akiki zetu mnazani nyie wanawake mliojaa laana tutawaoa ili mkatuzalie watoto waliojaa nuksi maana hata maandiko yanasema mtoto wa nyoka ni nyoka, je mnategemea tutaoa laana zenu ili tukateseke ndani ya ndoa au tutawakimbia na wakati mwingine kuwageuza single maza.

Ewe mwanamke kama unataka kuolewa na upo serious hebu omba toba , vunja hizi laana na uamue kuwa mwenye heri uone kama utamaliza miezi mitatu bila kuolewa., sasa kama mnabisha nyie endeleeni kubeba hizi laana za omba omba nakutudai huduma kwenye uchumba kama hamjaishia kwa wajanja kuuziwa maji na mafuta ya upako huku mkidanganywa na miujiza bandia mapaka mzeeke mmechoka nakuchakaa.

sisi wanaume tutazidi kuwaepuka nyie kizazi cha nyoka, hatuoi wala kuishi uchumba sugu na mwanamke ambaye enzi za uchumba na urafiki wetu tumegundua ana laana za chuma ulete, omba omba na zakudai kuhudumiwa, tutakuchezea alafu tutaoa mwingine
Hizi kelele za wabulana wa jamii forum hunishangaza sana.
Hivi Hawa wavulana huwa Wana upendo kweli?
Maana upendo huvumilia, hauhesabu mabaya, haujivuni, haukosi kuwa na adabu.
Nadhani tatizo la mabinti wanaolaumiwa hapa, ni kuingia kwenye mahusiano Kwa bahati mbaya, na watu wavulana wasiowapenda, maana mwanaume anaependa hawezi kuhesabu mapungufu yoyote ya mpenzi wake, bali atajiona fahari kuwa sehemu ya ufumbuzi wa matatizo hayo.
Sasa wewe kivulana, umemwambia Binti wa watu kwamba wampenda, then wategemea akipata changamoto amshirikishe nani?
Je, utajsikiaje kusikia kuwa girl friend wako, ambaye umemzui asilete shida kwako ,akipeleka shida hizo Kwa rafiki Yako au mwanaume mwingine na zikatatuliwa?
Wasichana, kuweni makini na hivi vivulana,
Maana dalili ya mvua ni mawingu.
Upendo haujengwi Kwa utelezi.
Wapo wanaume sahihi kwenu, hamtatoa utelezi na Bado mtahudumiwa.
Kwanza mwanaume mwoaji Wala hanaga haraka na utelezi. Huyu asema, 'kuku ni wako, manati ya nini?
 
Kuna haka, juzi tu kalikuwa Bukoba kusalimia huko kijijini kwao, kakanipigia whatsapp call nikatumie ten, nikakaambia kasubiri ,lahaula kumbe nilikuwa nimekosea kakapiga simu vibaya mno. Kakaanza kufosi nikakaushia hadi sahizi kamenichukia.
Screenshot_20240113_162633_WhatsApp.jpg
 
Hizi kelele za wabulana wa jamii forum hunishangaza sana.
Hivi Hawa wavulana huwa Wana upendo kweli?
Maana upendo huvumilia, hauhesabu mabaya, haujivuni, haukosi kuwa na adabu.
Nadhani tatizo la mabinti wanaolaumiwa hapa, ni kuingia kwenye mahusiano Kwa bahati mbaya, na watu wavulana wasiowapenda, maana mwanaume anaependa hawezi kuhesabu mapungufu yoyote ya mpenzi wake, bali atajiona fahari kuwa sehemu ya ufumbuzi wa matatizo hayo.
Sasa wewe kivulana, umemwambia Binti wa watu kwamba wampenda, then wategemea akipata changamoto amshirikishe nani?
Je, utajsikiaje kusikia kuwa girl friend wako, ambaye umemzui asilete shida kwako ,akipeleka shida hizo Kwa rafiki Yako au mwanaume mwingine na zikatatuliwa?
Wasichana, kuweni makini na hivi vivulana,
Maana dalili ya mvua ni mawingu.
Upendo haujengwi Kwa utelezi.
Wapo wanaume sahihi kwenu, hamtatoa utelezi na Bado mtahudumiwa.
Kwanza mwanaume mwoaji Wala hanaga haraka na utelezi. Huyu asema, 'kuku ni wako, manati ya nini?
Wewe ni mmoja kati ya wanaume mafala ambao ni puppets wa kausha damu, you are a pawn in gold diggers' games
 
Jijenge kwanza kiuchumi ndo ujiingize kwenye mahusiano lasivyo utaona wanawake wote wabaya au tafuta wa level yako
Sio kila mwenye hela anafagilia kuombwaombwa. Tafuta hela zako mwenyewe sio kutolea macho za mwanaume ambae sio mmeo kama hauwezi basi tangaza unafanya biashara ya ukahaba wadau wakupandie dau
 
Hizi kelele za wabulana wa jamii forum hunishangaza sana.
Hivi Hawa wavulana huwa Wana upendo kweli?
Maana upendo huvumilia, hauhesabu mabaya, haujivuni, haukosi kuwa na adabu.
Nadhani tatizo la mabinti wanaolaumiwa hapa, ni kuingia kwenye mahusiano Kwa bahati mbaya, na watu wavulana wasiowapenda, maana mwanaume anaependa hawezi kuhesabu mapungufu yoyote ya mpenzi wake, bali atajiona fahari kuwa sehemu ya ufumbuzi wa matatizo hayo.
Sasa wewe kivulana, umemwambia Binti wa watu kwamba wampenda, then wategemea akipata changamoto amshirikishe nani?
Je, utajsikiaje kusikia kuwa girl friend wako, ambaye umemzui asilete shida kwako ,akipeleka shida hizo Kwa rafiki Yako au mwanaume mwingine na zikatatuliwa?
Wasichana, kuweni makini na hivi vivulana,
Maana dalili ya mvua ni mawingu.
Upendo haujengwi Kwa utelezi.
Wapo wanaume sahihi kwenu, hamtatoa utelezi na Bado mtahudumiwa.
Kwanza mwanaume mwoaji Wala hanaga haraka na utelezi. Huyu asema, 'kuku ni wako, manati ya nini?
Unatetea nini mwauame mzima mada isiyokuhusu wewe unatetea Hawa digger's unatetea na gazeti lote hilo as if.. ww ni mwanamke au.. mahusiano sio ajira.. ila na Hawa wamezidi kuomba omba
 
Hizi kelele za wabulana wa jamii forum hunishangaza sana.
Hivi Hawa wavulana huwa Wana upendo kweli?
Maana upendo huvumilia, hauhesabu mabaya, haujivuni, haukosi kuwa na adabu.
Nadhani tatizo la mabinti wanaolaumiwa hapa, ni kuingia kwenye mahusiano Kwa bahati mbaya, na watu wavulana wasiowapenda, maana mwanaume anaependa hawezi kuhesabu mapungufu yoyote ya mpenzi wake, bali atajiona fahari kuwa sehemu ya ufumbuzi wa matatizo hayo.
Sasa wewe kivulana, umemwambia Binti wa watu kwamba wampenda, then wategemea akipata changamoto amshirikishe nani?
Je, utajsikiaje kusikia kuwa girl friend wako, ambaye umemzui asilete shida kwako ,akipeleka shida hizo Kwa rafiki Yako au mwanaume mwingine na zikatatuliwa?
Wasichana, kuweni makini na hivi vivulana,
Maana dalili ya mvua ni mawingu.
Upendo haujengwi Kwa utelezi.
Wapo wanaume sahihi kwenu, hamtatoa utelezi na Bado mtahudumiwa.
Kwanza mwanaume mwoaji Wala hanaga haraka na utelezi. Huyu asema, 'kuku ni wako, manati ya nini?
Usijifiche katika definition ya upendo kiimani ili kuhalalisha utapeli na unyonyaji wenu wenye laana kali uliojificha katika mahusiano ya kimapenzi. Kama upendo huvumilia kwanini mshindwe kuvumilia kutokutuomba wanaume hela na kuhudumiwa mpaka pale tutakapo waoa.
 
Back
Top Bottom