Wanawake wa PWANI

kwani kuruka ukuta maana yake ni nini?

Kaka kuruka ukuta maana yake kujamiiana kinyume na maumbile siku hizi inaitwa Tigo wanasema kula Tigo,mchezo ambao unapendwa sana kwa sasa hapa Bongo
 
Mkuu Kuhani kwa bahati nzuri mimi naishi uswahilini kwenye nyumba ya kupanga hapa Ilala, kwanza nina marafiki zangu mashombe wa kiarabu ndio mchezo wao kwa dada zetu,pili nimeshuhudia ndoa zaidi ya mbili zimevunjika kwa suala hilo la wanaume kuwadai wake zao Tigo,kwahiyo hili suala si lazima kuwa na survey ya Kisayansi
 
Mama chuma mboga inabidi mkachume mboga wote shambani kwenu?...:)
 
mzee japokuwa wachumba wengi wa kizazi hiki ni taabu tupu lakini mwanamke wa pwani ukimwoa lazima uwe na moyo wa kinabii yaani uwe mwepesi a kusamehe kwasababu vinginevyo unaenda jela kwasababu utamuua kwa vipigo na hasa mtu mwenyewe uwe unatoka ktk kona moja ya nchi yetu pale juuu
 
..... mwanamke wa pwani ukimwoa lazima uwe na moyo wa kinabii yaani uwe mwepesi a kusamehe kwasababu vinginevyo unaenda jela kwasababu utamuua kwa vipigo na hasa mtu mwenyewe uwe unatoka ktk kona moja ya nchi yetu pale juuu

Mzee wa mwakidila .. umenichekesha kweli..duu
 
Image525.jpg

Wanawake wa Pwani wanapotoa Hijabu....:D
Image530.jpg

Last edited:
nimeshuhudia ndoa zaidi ya mbili zimevunjika kwa suala hilo la wanaume kuwadai wake zao Tigo,kwahiyo hili suala si lazima kuwa na survey ya Kisayansi

..hili suala la tigo ni homa la jji ..wanawake wa ki dar es salaam ..usipojaribu anakuona mshamba..so what inabidi kila mwanamke mpya unayempata inabidi utest zali...ukijifanya umekosea ..ukiona kimya ujue ..uwanja wa nyumbani..

..unajua kwa nini watu wanawaomba wake zao tigo....?,,vijiwe vinaharibu..unaweza kukuta bwana amekaa kwenye pita pita mjini ..bahati mbaya mkewe anapita au watu wanahadidhia bila wao kujua ni mkewe...kuwa mkewe anatoa tigo...mmwanamume akitoka hapo anakuwa na hasira akirudi nyumbani anaenda kudai naye apewe......matokeo yake hata kama kweli mkewe ndio hivo anamkatalia ili kutunza heshima ....ugomvi huwa mkubwa....

nadhani ni vibaya sana kama mwanamke anakuwa na udhaifu huo anashindwa kuomba ushauri wa mumewe ....bila kujua huko anapoenda kufichia aibu anahatarisha maisha yake...
 
mkuu leo umemwaga point kweli kweli, vp hujapitia bar nini?
hah hah hah haaaaaaa jokes
 
Image525.jpg

Wanawake wa Pwani wanapotoa Hijabu....:D
Image530.jpg

...wow, huyu binti amekuwa mrembo hivi? na huyo mahina hina vipi tena, mambo ya Zenj si mchezo...mitaa ya madema mpaka uwanja wa miembeni..., SEABUS!!!
 
Wanawake wa pwaaaaaniiiii!!!wanawaloga na kuwachota ufahamu mnajifanya ooh wanajua mapenzi,dunia ya leo utaishije na mwanamke mvivu,anaejua kukata mauno tu na si kutafuta?mapenzi ni kote zaidi wabara tunajishughulisha hatukai vibarazani,na udi tunafukiza sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom