Wanawake wa Mkoani na Wanaume wa Mkoani katika pozi zao

Bora niwe mikoani tu kuliko vijana Wa dar kama hawa halafu nao wanajisifia wanagombaniana wanaume na dada zao
1472275757617.jpg
1472275764101.jpg
1472275769733.jpg
 
Kijana wa Bukoba aliyeko Dar kuja kusaka Maisha baada ya baba yake kumtelekeza alipokuwa Mdogo [ndo aliyehojiwa Clouds Tv
1472276377426.jpg
 
Vijana Wa dsm wakimkimbia kijana mmoja aliye na panga halafu nao wanajiita wanaume
1472276791373.jpg
 
Dar wanapapenda sana na Bado Wanazidi Kuja tu haha Pesa nyoko sana aisee mtu anakimbia mkoa wake badala akae Alime anakuja huku Kuliwa mav
 
Back
Top Bottom