Wanawake wa kimachame ni wanawake bora kabisa wa kuoa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Aisee wamachame ni wanawake bora kabisa wa kuoa

Nakushauri uoe mmachame kwani hutojutia kabisa

Sio wamachame tu bali wanawake wote wa kichaga ni bora kabisa

Asilimia kubwa ya wanaoa wachaga huwa wanakua na maendeleo sana, wanawake wa kimachame na wa kichaga kwa ujumla ni wanawake wenye vision na maono ya kufika mbali kabisa

Mungu awabariki wanawake wote wa kichaga kuanzia Rombo hadi Meru

Update

Kuna mambo ya ajabu sana yanaota mizizi,mtu ana chuki dhidi ya wachaga kisa wapo juu kila kitu!!

Hiyo ni roho ya kishetani, kuna mmoja kahoji kwanini waajiriwa wengi ni wachaga serikalini?Anasahau wakati babu zao wanasakata migoma huko na kuwa bize na kuoa na kuzaa wazee wakichaga walikua wakichapa kazi ili vijana wao waende shule

Babu zetu hawakua bize wakiwaza ngono na tarangoma zenu walikua wanazisaka watoto wao waende shule

Wakati wazazi wetu wanapambana tuende university za dunia nzima huko kuna hater mmoja wazazi walikua bize kuwapeleka sijui ndo mkoleni na shughuli ambazo hazina kichwa wala miguu

Haya wengine wanasema wanawake wa kichaga wanaua wanaume?Hivi kuna watu wana kichaa si ndio?Hivi kuna kabila linaongozwa kuoana na jamii nyingine tz hii kama wachaga?Ingekua hivyo tz hii wanaume si ingekua wameuawa wengi sana?maana nyie ndo wakwanza kuoa wachaga haya mbona hamjafa

Nataka ushahidi kwamba eti huko uchagani mfano machame wajane ndo wengihivi nyie mpo serious kweli nyie?Tatizo ni shule si ndio?Idadi wajane machame ina tofauti gani na idadi wajane bukoba, mwanza, tanga au Pemba?Natamani mlete hizo data hapa sio mnaropoka!Mimi nimezaliwa uchagani nimekulia uchagani, sijawahi ona wala kuskia mwanaume kauawa na mkewe kisa mali, hizo story nazisikia tu huku mjini babu zetu hadi wanazeeka tunawaona, mimi wazazi wetu baba ana mali nyingi na mama ni mmachame lakini sijawahi sikia mama kamuua baba kisa au babu zetu na bibi zetu, muache chuki dhidi ya wachaga

Wachaga hawakuwazuia babu zenu au society zenu kuendelea,nyie mlikua bize na vigoma, wakati babu zetu wakipata kwa ajili ya welfare za familia zao na jamii yetu

Tafadhali tuheshimiane kabisa sisi sio levo zenu kabisa wala kutufikia sio leo wala kesho, hii ni dedicated kwa wenye chuki dhidi ya wachaga kumbukeni mbarikiwa ni mbarikiwa tu no matter what!!!Muache chuki wachaga hawakuwazuia babu zenu na bibi zenu kwenda shule sijui tunaelewana?
 
Aisee wamachame ni wanawake bora kabisa wa kuoa

Nakushauri uoe mmachame kwani hutojutia kabisa

Sio wamachame tu bali wanawake wote wa kichaga ni bora kabisa

Asilimia kubwa ya wanaoa wachaga huwa wanakua na maendeleo sana, wanawake wa kimachame na wa kichaga kwa ujumla ni wanawake wenye vision na maono ya kufika mbali kabisa

Mungu awabariki wanawake wote wa kichaga kuanzia Rombo hadi Meru

Are you serious?
 
CC cariha
 
Watu wanavyowaponda ila ndio wanaongoza kwa kuolewa haha
 
Aisee wamachame ni wanawake bora kabisa wa kuoa

Nakushauri uoe mmachame kwani hutojutia kabisa

Sio wamachame tu bali wanawake wote wa kichaga ni bora kabisa

Asilimia kubwa ya wanaoa wachaga huwa wanakua na maendeleo sana, wanawake wa kimachame na wa kichaga kwa ujumla ni wanawake wenye vision na maono ya kufika mbali kabisa

Mungu awabariki wanawake wote wa kichaga kuanzia Rombo hadi Meru
Nenda pale maeneo ya RAU au mbele ya KEYS HOTEL uone wajane waliouwa waume zao kisa mali..!! Nyumba nyingi maeneo yale hazina baba, walishazikwa kitambo
 
Back
Top Bottom