Wanawake wa Kikurya wana sifa gani?

1.wapole
2.wanapenda kugechwa(kudundwa)
3.wana akili sana
4.wavumilivu
5.awajui kupika....

ehh jaman m kidng bwana auwez kudicrib mtu kwa kabila lake..waweza kuta mkurya lakn asiwe na sifa ata moja apo juu

kila bnadamu ana swaga zake.

nawasilisha..its me nyambura.
 
wa JF!

Kwa nini kila wakati ni sifa za wanawake wa kabila fulani?

Mbona sio sifa wa wanaume wa kabila fulani?

This is subordination of women? Hatuendi mbele kila wakati ni sifa wa wanawake?????
 
Kama ilvyo kwa bianadamu ambaye ni kiumbe asiyetabirika. Hawa nao wanatabia tofauti tofauti kama walivyo wanawake kutoka maeneo mengine. Utakuta wapo wapole, wakorofi n.k
 
Mimi si mkurya, ila nimeishi nao sana. Ni warembo sana. Si watu wa majungu, wana upendo. Labda wanaotoka kijijini ni tofauti, ila wa hapa Dar most of those that I know are real attractive. Tatizo lao kubwa ni kuwa wanatahiriwa. It is so fun kwani hata wa mjini (marafiki zangu) walikuwa wanatahiriwa then wanafanyiwa bonge la sherehe majirani woote tunaalikwa na siyo siri wala nini tena hapa hapa dar!. Hiyo ilikuwa miaka ya 90 sijuhi kama wamehacha au wameamua kujificha. Ila ili suala la kutahiri si wao peke yao nasikia na wachaga na watu wa dodoma, singida pia wanatahiri mabinti. Sasa sijuhi baada ya kutahiriwa performance zao in bed zinakuwaje maana I doubt kama wanaenjoy.
 
wanatahiriwa,
hivyo ukioa mkurya ujue utakua unabimiza tu na
hapati raha yoyote,
inakuwa ni machine ya kutunfua watoto tu lol
 
Back
Top Bottom