Wanawake wa IG,TikTok na SnapChat wanataka wao tu ndiyo wawe advanced!

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Nimerudi baada ya changamoto za kimalezi. Tutakuwa pamoja sasa.

Wanawake wa miaka ya 70 ni tofauti na mabinti wa sasa wa 98, 99 na kuendelea. Wa miaka hiyo walikuwa waoga, unapiga kofi analia anakimbilia chumbani. Unapiga ngumi anakimbilia ukweni. Wa sasa hivi ukijaribu hata kurusha kofi tu akikushtaki polisi you are done!

Mabinti wa zamani hawakuwa jeuri, walikuwa na adabu na heshima kwa wao wenyewe na kwa watu wengine ikiwemo waume zao. Ingawa ndivyo ilivyotakiwa kuwa, ila kelele za mashirika ya kijinsia yalipelekea uhuru au ukombozi 'fake' wa mwanamke.

Mashirika haya yalitukana mababu zetu na kuwaita primitive, wajinga, walikuwa na mfumo wa kipuuzi yaani mfumo dume na matusi mengine kadha wa kadha.

Wakongwe wakasema haya, tunawaachia usukani. Sasa leo hii kuna wimbi kubwa mno la akina dada ambao ni zao la zile kelele za mashirika ya kijinsia.
Wanawakejeli na kuwatusi wanaume na kuwadhalilisha wakisema;
1. Mwanaume kula nyama au kujipenda ni ukike, mwanaume hutakiwi kula kula nyama, nyama ni za mtoto wa kike bhana. Na mbaya zaidi hata sehemu ya jamii imeshaathirika, nayo itakuambia kula kuku ni ukike bhana, acha.

2. Mwanaume ukijali mno afya yako na kujaji kuhusu miendo ya vyombo vya moto vya usafiri barabarani, mabinti watakuambia aaah unakuwa kama siyo mwanaume bhana. Na hata baadhi ya wapumbavu wanaume nao watakuambia hivyo.

Yaani inataka kuwa rasmi sasa kuwa mazuri na vizuri vyote ni vya mwanamke na vibaya ni vya mwanaume.

Sikieni enyi wanaume wapumbafu, majinga na mbweha;
Kuteseka siyo sifa na siyo jambo la kujisifia eti kisa wewe ni mwanaume. Hakuna binadamu mwenye haki ya kuteseka na mwingine atulie tu. NO!. Kula kwa jasho hakumaanishi kuteseka.

Kama ni hivyo akina Daudi wasingekuwa wafalme na kula raha, akina Suleiman wasingetesa kiasi kile. Akina Herode, akina Caisar na wengine wengi.

Acheni kubadilisha maandiko kwa faida zenu.

Yaani mtoto wa kiume akatwe mkono eti umuambie asilie ni ukike? Mafi matupu!.

Me na ke wanastahili raha wote, pasipo kuvuka mipaka na nafasi zao katika jamii.

********
Mabinti wengi wa kileo wanawataka vijana wa kiume washamba ilhali wao wame advance kuendana na kasi ya karne hii ya 21. Wanawataka vijana wa kiume washamba wa karne ya 15 ili wawaendeshe.

Wanapiga vita na kuwaita kila majina mabovu vijana wa kiume ambao nao wanafanya jitihada za ku advance ili waende sawa na mabinti hawa wa sasa ambao wengi ni jeuri.

Mabinti wengi wa kileo wame advance/modernized na kuwa jeuri, hivyo na vijana wa kiume wanatakiwa kuwa advanced na wawe jeuri ikibidi hata mara 10 yao ili kuu balance mfumo.

Vijana wa kileo wa kiume wasibezwe kwa kufanya modernization, wana hoja.

Vijana hawawezi ku apply njia za vijana wa miaka ya zamani kwa mabinti hawa wa sasa na wakabaki salama. Nao wa advance ili wawe kwenye ligi moja watifuane vizuri.

Huwezi mlazimisha kijana wa kileo awe mshamba na hapo hapo binti wa kileo unalazimisha awe modernized. Hiyo ligi ni 'unfair'!

NB: mambo ambayo napendekeza vijana wa advance na kuwa ligi moja na hawa mabinti wa kileo ili waende sambamba, ni yale chanya tu. Na mambo ya zamani ambayo nasisitiza kijana kuyaacha ili kwenda na mfumo wa kileo, ni yale yasiyo chanya hasa kwenye suala zima la mahusiano.

Wasalaam!.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Twendeni taratibu tu, mbona mambo mepesi sana haya. Msishupaze shingo jamani.

Eti akipigwa ngumi!! Pigana ngumi na uchumi huko kama kweli una akili. Matumizi ya mabavu ni ukosaji wa akili.
 

Twendeni taratibu tu, mbona mambo mepesi sana haya. Msishupaze shingo jamani.

Eti akipigwa ngumi!! Pigana ngumi na uchumi huko kama kweli una akili. Matumizi ya mabavu ni ukosaji wa akili.
Hivi kweli una Baba??

Unamheshimu??

Kwa sababu gani unamheshimu Baba Yako??

Tupe Hekima ambayo Baba Yako alitumia kudeal na hayo matatizo??

Kwa tabia hizi kama umeolewa nasikitika Sana yawezekana ni Singo mama.
 
Hivi kweli una Baba??

Unamheshimu??

Kwa sababu gani unamheshimu Baba Yako??

Tupe Hekima ambayo Baba Yako alitumia kudeal na hayo matatizo??

Kwa tabia hizi kama umeolewa nasikitika Sana yawezekana ni Singo mama.
The greatest father in the world. Sikuwahi mshuhudia akimkaripia wala kumpiga mama. He was so brave. Alilelewa katika misingi ya utu, nidhamu na upendo. Na ndivyo walivyotulea pia.

Pole ndugu, dua la kuku tu hilo😂😂
 
Back
Top Bottom