Wanawake wa Babati ni wazuri kuliko uzuri wenyewe halafu hawaringi wala

Aliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo.

Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani balaa tupu.

Mimi nkitaka kuoa ntakuja kuoa huku manyara babati ,bintis wa huku wana rangi ya uarabuni sio ya kiafrika .
weupe na vishepu vizuri ila miguu yao sasa
 
Aliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo.

Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani balaa tupu.

Mimi nkitaka kuoa ntakuja kuoa huku manyara babati ,bintis wa huku wana rangi ya uarabuni sio ya kiafrika .
Vizuri sana, tuletee shemeji asiyeringa, wanasema "kizuri...??"
 
Aliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo.

Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani balaa tupu.

Mimi nkitaka kuoa ntakuja kuoa huku manyara babati ,bintis wa huku wana rangi ya uarabuni sio ya kiafrika .
Ni mapenzi ndio yako Tanga sio uzuri.
Unaweza kukuta mdigo mweusi ti lakini vimbwanga vyake mkiingia chumbani, utaisajau Manyara.
Hapo Manyara wanajua kumpeleka mwanaume chooni na kumtawaza na maji ya Moto.?
TANGA habari nyingine Kaka.
 
Kama mguu haujanyooka kama fimbo basi kuna namna umepinda tušŸ¤”
 
Tatizo mabinti wa hilo kabila wanakuwaga na mabinamu wengi kumbe ndo michepuko yao. Ukioa tegemea ugeni wa mabinamu wengi ambao watakuwa wanakugongea mkeo hapo kwako.
 
Aliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo.

Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani balaa tupu.

Mimi nkitaka kuoa ntakuja kuoa huku manyara babati ,bintis wa huku wana rangi ya uarabuni sio ya kiafrika .
Usisahau pia ni wakarimu balaaa hawajui kukataa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom