Wanawake vs Fedha, kipi kinaongeza dunia?

Behind every successful man there is a strong woman...


obama-michelle-6-9-08.jpg




Jamani, jamani wewe ndio umenena la msingi sana.
I love you
 
nadhani swali ni Wanawake vs Dunia: Kipi Kinaongoza Dunia? sidhani kama lengo la mtoa mada ilikuwa ni kuongeza dunia, manake gender zote zinahitajika kuzaa na pesa inaweza isiwe muhimu ktk kuzaa. Kuhusu kuongoza nadhani ni wanawake wanaongoza dunia...kwa proxy (most of the time)
 
Nauliza hili swali na ninaomba unijibu kwa kadiri ya ufahamu na uzoefu wako.
Asante.

Mapenzi yana-run dunia!!!!!!!!!!! Pesa tuuuuuuuuuuu bila wanawake no! Ebu fikiria we ni mwanaume, una mapesa mengi ya kutosha lakini hakuna anayekupenda utajisikiaje. Lakini mara ngapi unatafuta pesa kwa shida lakini wakati unazitafuta mawazo yako yote yapo kwa mama toto wako mmhhhh.
 
Dahhh naomba unisome vizuri
nimeuliza wanawake bila wanaume.. kufafanua vizuri mwanamke anweza kuongeza(kujaza dunia) bila mwanaume??

AD, naona swali linauliza kuongeza dunia, majibu yanayotolewa, kuongoza dunia!
 
hakuna hata mia bila ya kuwepo zero. Unasoma, unapata tabu, eti uije uweze kujitegemea, then mwisho wa malengo yako ni kuwa na maisha mazuri huku ukiwa na mwenza wa kuujaza ulimwengu. Fedha ipo juu.
Mali....(inaanza) watoto.....(wanafuatia) wanawake....(ndo wanakuja hawa)
 




BjBj hii inamfaa... Beyonce hapo hakukosea kabisaaa...


Who run this mother? Girls
Who run this mother? Girls
Who run the world? Girls
Who run the world? Girls
Who run the world? Girls
Who run the world? Girls


Some of them men think they freak this like we do
But no they don't
Make your cheque come at they neck
Disrespect us no they won't
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom