Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 99
Kwani maana ya umalaya ni nini...mimi nivyofahamu mwanamke anaweza kuwa malaya kwa mmewe pia na siyo mbaya....
Kama ulikua kwa kichwa changu mpendwa wangu, umalaya nineno na pia nitendo ambalo linaweza kutendeka na likashangaza mtu. Yaweza pia kua utundu flani.