Wanawake sasa hivi mmevuka mipaka

TAFITI

Mbali na wanaume wengi kuyakimbia majukumu yao ya kifamilia. Asilimia 80 ya wanawake wa Kitanzania ni OMBA OMBA
Tatizo la wanaume wa siku hizi HAMTAKI kazi lakini mnataka kuishi kwa kula bata.

Tangu zamani wanawake siku zote "wanapenda" wanaume "MASTAR" wa kitu chochote.

- Mfalme auPrince wa ENEO husika.

- Mpiga kinanda mtaalam kanisani

- Mwenye uwezo mzuri kiuchumi

- Shujaa aliyeua simba au aliyeshinda pambano.

Sasa ninyi viana wa INSTAGRAM mmekuwa mdebwedo, hamtafuti, mnakwepa majukumu yenu kazi kulaumu WANAWAKE KILA SIKU.
 
Mwanaume kama una jina basi wewe ni mzigo kwa mkeo. Mwanamke anataka kitu cha kujivunia kwa wenzake, kama sio HB, basi uwe na pesa, uwe na kipaji cha kutisha, uwe mbabe wa mtaa, uwe na sifa yoyote tuu ilimradi. Wanawake hawapendi watu mapopoma
 
Nanukuu tena!
"Wanawake hawapendi watu mapopoma"!
Ngoja Mimi kesho nianze kwenda gym niwe mbabe wa street
 
Huo ndio ukweli HALISI.
 
Huu uzi utapingwa na wanawake wa hapa JF na dalili kubwa ni kuwa wataususia na wakija hapa watatokwa na mapovu.
 
Hata pale Edeni Eva aliletwa baada ya Adam kuwa amekwisha pewa majukumu(kazi) ,hivyo Eva alikuja kutumia . Mwanaume Fanya kazi .
 
Yani wiki hii nimepata missed call kama thelathini za mechepuko yangu tunaofanyaga mara moja moja tena nikiwatafuta ila cha ajabu wiki hii wote walikua active kwenye simu kunitafuta, nilichofanya nikawa sipokei wengine wakajifanya akili nyingi wakatumia namba tofauti nazo nikazipotezea, nasubiri january katikati ndio nitaanza kuwatafuta
 
TAFITI

Mbali na wanaume wengi kuyakimbia majukumu yao ya kifamilia. Asilimia 80 ya wanawake wa Kitanzania ni OMBA OMBA

Wamekua Kama watoto wa Enzi za miaka ya 2006 anakusalimia shikamoo pole pole na kazi NAOMBA HELA

Mwanamke akikusalimia Leo ukajibu salamu yake kinachofuata naomba 5,000Tsh inakera sna tena mwingine ndio hapo hapo
1. Anakua yatima
2. Anakua ananjaa
3. Kodi ya nyumba
4. Luku imeisha
5.mgonjwa
Sasa siuende kwenu ukijipanga urudi mjini
 
Nanukuu tena!
"Wanawake hawapendi watu mapopoma"!
Ngoja Mimi kesho nianze kwenda gym niwe mbabe wa street
anakwambia wanawake wamekuwa ombaomba, haijalishi wewe ni bouncer, diamond, mwendesha mkokoteni, muuza nyanya jua utaombwa hela na wanawake, rudia tena akivyoandika mwenzio!
 
huko facebook ni balaa, utasikia naomba unirushie sh kumi, sh 7 jamani nna marafiki wanawake 199 wote hao ntaweza kuwapa, mtoa maada una hoja.
 
Back
Top Bottom