Wanawake, ni zipi changamoto za kuishi na mwanaume aliyesimamishwa kazi?

Imagine project flani ya USAID imeisha ulikuwa kwenye NGO moja ya kimataifa kipato kilikuwa kizuri mke kusuka nywele za laki 3 kwa mwezi ni uhakika. Mafuta ya gari, allowance ya kutoka na mashost zake kwenda viwanja on weekends ni kugusa tu.

Ghafla huna mkataba tena uko bench hebu niambie ni kibarua gani cha kuweza kufanikisha hayo mambo ambayo ulikuwa unayamudu hapo juu kiasi cha kusema utakaa kimya halafu mambo yaende smooth tu.
Huyo mwanamke naye alishindwa kumshauri mwenzake kuweka akiba, yeye ni kutumbua tu. Yaani unasuka nywele za laki 3 ili iweje halafu mama wa nyumbani? Amvumilie mumewe tu hadi apate kazi nyingine. Nadhani atajifunza sasa.
 
Hapa nimetoka kuachana na mwanamke wangu 1 kivuruge sana a month ago, na nna non renewal notice ya mkataba kwa job.
Nilikua naishi naye pika pakua kama mke na mume. Naye ana kazi yake.
Nawaza hali ingekuwaje na kivuruge yule? Nilishamchoka na nimemtimua.
Just imagine amepiga tukio moja akasweka rumande nimeenda kusolve msala kwa laki 3......a week later ananiambia mwezi mzima sijamtoa out na kwamba simjali.....sijui nikoje blah blah kibao. Nadhani kuna siku angenitukana kabisa.
Japo naweza kuishi vizuri tu bila kazi ya ajira coz nna hapa na pale vijimiradi. Ila ajira inanipa heshima sana.
Anyway, tuishi.
Bora kasepa mapema uyo angekunyea mzee.
 
Huyo mwanamke naye alishindwa kumshauri mwenzake kuweka akiba, yeye ni kutumbua tu. Yaani unasuka nywele za laki 3 ili iweje halafu mama wa nyumbani? Amvumilie mumewe tu hadi apate kazi nyingine. Nadhani atajifunza sasa.
Sasa ukiwa na hela unadhani wanawake ambao una attract wanakuwa tofauti na huyo? 🤣

Huwezi kudili na mwanamke anaesuka twende kilioni ukiwa mfuko umetuna kweri kweri. Halafu hizo saving mtazitumia kwa muda gani unafikiri mwanamke hajui kwamba hio saving ikiisha mtateseka
 
Jamani Hakuna kipindi kigumu kwa mwanaume yeyote Kama kukosa hela/ ajira.Hapa mtu anawazaga mambo mengi Sana tena ya ajabu ajabu.

Mwambie huyo shoga yako asikate tamaa kwa mumewe Bali azidi kumtia moyo na kwa kumuombea kwa Mungu apate ajira aweze kuihudumia familia Yake.
 
Bora kasepa mapema uyo angekunyea mzee.
Kuna rafiki yangu wa sekondari nilimweleza visa vya mwanamke yule, alinishauri straight achana naye. Na sio kwamba nilikua naomba ushauri.
Kama nikazinduka usingizini nikapiga chini.
 
Back
Top Bottom