Wanawake na Mapungufu mliyonayo mnaupendo!!!

Lizzy mweleze ukweli usimwachie, amesahau kabisa wao wanavyograde ....

Wanaona uchungu kweli kusikia kwamba yeyote anaweza kuchukua nafasi ya baba na kua hata zaidi ya baba wakati kwa kina mama sivyo!!

Poleni bana...Mungu mwenyewe alipenda iwe hivyo!!!
 
Yeyote anaeweza kupewa jukumu la kua baba!

Na yeyote pia anaweza kupewa jukumu la kuwa mama. Mama matesha anamlea binti wangu wa kufikia, wala binti hajui kama ni mama yake.

Kama kigezo ni MAJUKUMU basi Shangazi, bibi, binamu et el anaweza kuwa sawa na mama.

Narudia tena, ukiondoa majukumu...Kama hakuna kama mama, Je kuna aliye kama baba?

Nasubiri majibu yako Lizzy
Msimamo wa babu ni huu, Kwa jinsi ilivyo HAKUNA kama Mama, ndivyo ilivyo HAKUNA kama baba.
 
Babu bwana.....

Haya nisikilize mjukuu wako nilichojifunza nlipokua naenda shule!!
Nafasi ya baba inaweza kuchukuliwa na yeyote akaitendea haki kisawa sawa.Kwanzia mpenzi kwa mtoto....kujali...kumfundisha na mengineyo.
Ila mama nafasi yake haiwezi kuchukuliwa kwa asilimia 100 hata siku moja!!Shur anamlea na inawezekana anampenda ila sivyo ambavyo angempenda wakwake au binti angependwa na wakwake!!!

Natumaini ile pesa ya ada uliyochangia haikupotea bure!!!:third:
 
Huu mjadala unahitaji thread inayojitegemea. Ngoja nikaianzisha tulumbanie kule.
 
Siamini macho yangu KK ni wewe au kuna mtu kaiba avatar oh sory password yako? Leo umekuwa positive na wanawake? Hongera sana
 
Back
Top Bottom