Wanawake na Mapungufu mliyonayo mnaupendo!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Na imani kila binadamu anaudhaifu ili likowazi nasisi wanaume ndiyo wakwanza kuwakwaza wanawake na mara nyingi mumekuwa mkiona nimakosa yakibinadamu na kulichukulia kawaida japo laweza kuwa kubwa!huwa hamjali ukubwa oila sisi mkitukosea sisi wanaume maranyingi sisi uona mumefanya kosa kubwa sisi huwa uvumilivu unakuwa mdago,na saa nyingine tunakuwa na maamzi yasiyozingatia nikosa gani mwanamke kafanya!Lakini yote huyasahau na kuendelea na upendo kwetu!!Wanawake mmejaliwa!!Nani kama mama??
 
hakuna kama mama
asante sana kina sisi..
dahhh nimependa jinsi ulivyotumia hilo neno "sisi"
hahahhahahah lol
 
Khe! Kwa mara ya kwanza kumsoma KK akiwa positive kwa wanawake! Hakuna kama mama thx
 
wanaume na mapungufu yenu mmekosa pia upendo
Tunawapenda ila tatizo mfumo dume uwezikuubadili!

hakuna kama mama
asante sana kina sisi..
dahhh nimependa jinsi ulivyotumia hilo neno "sisi"
hahahhahahah lol
Yeah kwani saa nyingine ndo inavyokuwa haki yake mpe!

Khe! Kwa mara ya kwanza kumsoma KK akiwa positive kwa wanawake! Hakuna kama mama thx
Nawapenda wanawake kwani siwachukii ila mnanichukuli sivyo mbona mimi nawanawake tuna socializ as usual??Karibu love you all!

Wanaume na mapungufu yao...
Najua bila kuwa namapungufu msingejua makosa yetu!!:happy:
 
Khe! Kwa mara ya kwanza kumsoma KK akiwa positive kwa wanawake! Hakuna kama mama thx

Sio bure kuna vitu kapewa usiku wa leo, amekuwa jiexpress totaly different! huyu siye KK ninaye mfahamu. lakini Big up kaka. Hakuna kama mama :israel::israel::israel:
 
Na imani kila binadamu anaudhaifu ili likowazi nasisi wanaume ndiyo wakwanza kuwakwaza wanawake na mara nyingi mumekuwa mkiona nimakosa yakibinadamu na kulichukulia kawaida japo laweza kuwa kubwa!huwa hamjali ukubwa oila sisi mkitukosea sisi wanaume maranyingi sisi uona mumefanya kosa kubwa sisi huwa uvumilivu unakuwa mdago,na saa nyingine tunakuwa na maamzi yasiyozingatia nikosa gani mwanamke kafanya!Lakini yote huyasahau na kuendelea na upendo kwetu!!Wanawake mmejaliwa!!Nani kama mama??

Kakakiiza asante kwa kulitambua hili, and me as one of the women nasema. Nani kama mama.... Thank you on behalf of all the women that surround you. Kaka zetu wachache wanatambua hilo au umuhimu wetu kama wanawake... ndio source ya matatizo mengi tulonayo akina mama.

Kuvumilia kunatokana na kutambua ukweli kua Mwenyezi Mungu katujalia tofauti kimaumbile na ustahimilivu... tunavumilia coz we know you are the right person (and i am for you) even if you your self dont know it yet! tunavumilia coz in most cases wanaume wako sawa, ukiondoka hapo kwa vi weakness vyake vidogo basi waweza enda kumbana na bomu huko uendako... tunavumilia because we believe iko siku utaniona mimi; yani mimi as an individual.... Tukivumilia yote haya na bado unaniona sina maana ndo pale yanakushinda na unaona bora niondoke. And Kiiza naomba hapa nimnukuu R. Kelly kua "when a woman is fed up there is nothing you can do about it"
 
Sio bure kuna vitu kapewa usiku wa leo, amekuwa jiexpress totaly different! huyu siye KK ninaye mfahamu. lakini Big up kaka. Hakuna kama mama :israel::israel::israel:

Kuna aliye kama baba?
 
hakuna kama Mama/baba,
Pamoja na mapungufu yenu,ukali,ugomvi bado mna mapenzi na sisi na watoto wenu,unapigika mchana kutwa juani na mkokoteni,bajaji,Tax,boda boda,sokoni,ziwani,migodini japo upate vijisenti familia yako nayo iweze kula,kuvaa na kuingia chooni,kweli ukali wenu japo si mara zote unaonyesha na umetufanya tuwe wamama wavumilivu,walezi na wapenzi wenu Daima,Ukali wenu umefanya muheshimike,na tuwapende zaidi sawa wakati mwingine tunaomba japo mpate kijisafari lkn trust me tunawamiss sana pale mnapokuwa mbali nasi.Watoto wetu na hata sisi tuliona pengo la baba pale asipokuwa nyumbani na familia nyingi kweli zimeyumba kwa kukosa baba!Tunawathamini,kuwapenda na kuwaombea Daima japo:
MAMA NI KIUMBE CHA AJABU SANA AMBACHO NI MUNGU PEKEE AJUAYE SABABU YA UPENDO WAKE WA DHATI.
Kuna aliye kama baba?
 
Sio bure kuna vitu kapewa usiku wa leo, amekuwa jiexpress totaly different! huyu siye KK ninaye mfahamu. lakini Big up kaka. Hakuna kama mama :israel::israel::israel:

We Elia, hakuna km mama (siri ya baba wa mtoto ajuaye ni mama)
KWANI UNAFIKIRI KAPEWA NINI?
 
Na imani kila binadamu anaudhaifu ili likowazi nasisi wanaume ndiyo wakwanza kuwakwaza wanawake na mara nyingi mumekuwa mkiona nimakosa yakibinadamu na kulichukulia kawaida japo laweza kuwa kubwa!huwa hamjali ukubwa oila sisi mkitukosea sisi wanaume maranyingi sisi uona mumefanya kosa kubwa sisi huwa uvumilivu unakuwa mdago,na saa nyingine tunakuwa na maamzi yasiyozingatia nikosa gani mwanamke kafanya!Lakini yote huyasahau na kuendelea na upendo kwetu!!Wanawake mmejaliwa!!Nani kama mama??

Wewe utakuwa na mapungufu sana
 
K K,huyo uliyekua nae usiku wa leo mshike hivyo hivyo maana hata aina yako yauandishi seem ulikua hoi...nadhan neno mama limetumika km ngao ila ujumbe umefika!
 
Na imani kila binadamu anaudhaifu ili likowazi nasisi wanaume ndiyo wakwanza kuwakwaza wanawake na mara nyingi mumekuwa mkiona nimakosa yakibinadamu na kulichukulia kawaida japo laweza kuwa kubwa!huwa hamjali ukubwa oila sisi mkitukosea sisi wanaume maranyingi sisi uona mumefanya kosa kubwa sisi huwa uvumilivu unakuwa mdago,na saa nyingine tunakuwa na maamzi yasiyozingatia nikosa gani mwanamke kafanya!Lakini yote huyasahau na kuendelea na upendo kwetu!!Wanawake mmejaliwa!!Nani kama mama??
Thanks KK, hakuna kama mama! Barikiwa sana mpendwa kwa kulitambua hilo.
 
Ukitaka kujua umuhimu wa wanawake/wakinana, ngoja baba yako afiwe na mke wake.. uwezekano mkubwa ni kwamba na yeye mtamzika! However, the opposite is not always true!
 
We Elia, hakuna km mama (siri ya baba wa mtoto ajuaye ni mama)
KWANI UNAFIKIRI KAPEWA NINI?

Mi namfahamu huyu, kuna kitu kapewa ndio maana amejua umuhimu wao! alikuwa mbishi sana huyu, hebu angalia muda aliotuma hii post! ngoja tumsubiri atatwambia tu hivivitu havifichiki. :A S-baby:
 
Back
Top Bottom