Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,980
- 10,474
Awe ameshajenga anagari na pesa.a men is the head of house hold
Waliozaliwa familia za hohehahe utawajua tu. Wanataka ku-compensate kila kitu
Can't you work with him to achieve 'em?
Awe ameshajenga anagari na pesa.a men is the head of house hold
Pole sana! But kumbuka maisha ni safari, kuna kupanda na kushuka!
kama kuna mwanamke mwenye mawazo hayo,namshauri asiolewe atamsumbua huyo mume.
Utamu wa ndoa ni kujenga maisha pamoja. Not necessarily from zero, lakini si lazima uingie ukute kila kitu ni "move-in condition". You need to be able to stand on your on two feet as a woman, even if the man is the head of the household. You also sound a bit materialistic, as not everyone on this planet can afford a house and car prior to marriage. These shouldn't be things you look for in a mate.
Honeybee unaniangusha bwana hapo ktk red!, ushaambiwa a men...lol!, but N'wayz back to the thread. Am not sure which audience she's targeting geographically cause where I reside I dont necessary need a car so I wont mind for someone who dont have a car but you said it well, as for me am used to working my ass off in pretty much everything I do and be the best, so I wont mind for someone who's not "Perfect material wise" and we work together in achieving all that afterall I get bored to just sit around doing nothing unless its intentionally.
Awe ameshajenga anagari na pesa.a men is the head of house hold
duuuuh dongo hilo jiulze mtakuwa wangapi na Kwa muda gan Kwa hyo wale walionao hayo mambo safi imekula kwao?....laiti ungejua mwanamke akishiriki katika maendeleo ya familia anavyopata heshima na kudhaminiwa....
Mimi nafaham dada mmoja ya kule moshi aliyekuwa na msimamo kuwa, mwanamme mwenye kila kitu yeye hamuhitaji na alitimiza lengo lake..yeye anakazi na aliolewa na mwanamme mwenye kazi ....walishirikiana wamejenga, wanausafiri nk maisha yanasonga kwa raha zao.
"kwa psychologia ya ujumla, wanaume wenye kila kitu hawaoni dhamani ya mwanake ndani ya nyumba tofauti na kuwachukulia kama chombo cha starehe"...
Nenda migodini utawapata unaowahitaji..ila jiulize mtakuwa wangapi na kwa muda gani????
Hahah Kui, my bad! Kumbe ningeandika hivyo hivyo :glasses-nerdy:.
Yeah I don't need a car where I am either, maybe in the near future but not now. Kwa sasa it's easier kuchukua bus au treni. Tena nina driving test next week. Nikipata leseni by next year ndio ntaanza kufikiria mambo ya gari, but for now they seem like a pain. Anyways, hii mentality ya kutafuta mwanamme aliechakarika kutafuta kila kitu halafu unakuja kuingia at the last minute itawapeleka watu pabaya. The beauty of sharing your life with someone is experiencing the ups and downs of life. You learn to appreciate someone that was with you when you didn't have anything, because you know if something happens and you lose it all they will be right by your side.
We both work very hard. Kwa sasa niko maternity leave, lakini kuna wakati nilisema ntaweza kuwa house wife.. Sahivi nasema NO WAY! Napenda kufanya kazi, napenda kuwa na uwezo wa kujinunulia ninachotaka na si kuomba mpaka pesa za underwear. I like my independence, and I like to do my part and bring my share to the table. I believe in being a good example to my children. Sitaki watoto wanione kama pambo nyumbani. Eventually watoto watakua, wataondoka nyumbani, what's next after that?? Hayo si maisha bana.
huyu anataka mimi niishie kutoa oa kabisa!!!ambao hawana wasoe?