Wanawake mtaacha lini ukatili huu mbona umezidi?

Kudadadeki Duh! Yaani ningemwona huyo mwanamke ningemtandika viboko 6 hadi nane vya nguvu
 
Sisupport alichofanya ila kujibu swali ,Pale ambapo baadhi ya wanaume watachukua majukumu yao ya kuwa dads!not only fathers na pia being responsible for their actions..ni ngumu sana mwanamke kumtelekeza mwanae,ila rahisi sana kwa some Men kugawa mimba na kutelekeza mitaani kama malboro zivyozagaa mitaani..
 
ujanja ni kila mtu kutinga kondom ya jinsia yake... hakuna kulaumiana hapo
 
wanaume tuache kuwapa mimba na kuwakimbia

Kuna wanawake tena ni maskini kupita maelezo wamepata mimba hawana waume na bado wamewalea watoto wao na sasa ni wakubwa,iweje leo mtu amtupe mwanae eti kisa kakimbiwa na mme?huu ni uamuzi usio na aina yoyote ya utetezi...hata kama uko peke yako,kaa lea mwanao ipo siku atakusaidia,kwahyo ukikimbiwa na wanaume5 na kila mmoja akawa anakuachia ujauzito ama mtoto kwahyo na wewe utawatupa wote wanao watano kisa baba walikimbiwa siyo?mbona mie mama yangu hakuwahi kunitupa mpaka nimefika hapa?

Wanawake acheni uuaji huu,leeni watoto wenu hamjuhi ya kesho ni mengi
 
Back
Top Bottom