Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
- Thread starter
- #21
women wanavaa kwa ajili ya kuonyeshana wao wenyewe zaidi....
kushikishana adabu....
its true man...
women wanavaa kwa ajili ya kuonyeshana wao wenyewe zaidi....
kushikishana adabu....
Ili tusiwe uchi na kuhisi baridi..
una maana gani wanawake wanapovaaa?
au ulimaanisha wanapopendeza machono pako?
MAnake naona topic haina jibu moja, kama ailvyosema mmoja hapo juu.
Wanawake tunavaa kutegemeana na wakati, ila unavyotuona unajua mwenyewe, mimi mfano nikivaa suruale kwa kuwa nasafiri, sitaki bugudha ya sketi, wewe utaweza kuona nakutega, au ninapovaa hijabu utasema nakutega ili unfuatilie ndani nina nini,
Ila wanawake tunavaa ili
- kujisitiri na hali ya hewa na mazingira, mfano singlendi, sweater, suruale, nk
- kuweza kufanya shughuli inayotakiwa kwa ufanisi, mfano manesi, madereva, mafundi nk
- kuonyesha hisia za ndani mfano- niko kikazi zaidi, tafadhali niheshimu, tafadhali nunua hii bidhaa, tafadhali ona urembo wangu lakini niheshimu, usiniogope, japo mzuri sana lakini karibu, nk
Sasa wewe utaionaje singlendi yangu au hijabu yangu, kutokana na akili yako na umbo langu hilo swala jingine.
women wanavaa kwa ajili ya kuonyeshana wao wenyewe zaidi....
kushikishana adabu....
Mmh!!wakati umevaa chandarua hapo unajikinga baridi???
uchi sio ishu sana ni kitu ambacho kinajulikana sana swala that decent dressing ar u real which attention ?? Man, woman or ur personal.
Umeona eh!wewe ndo umesema,
hayo maneno mengine mbwembwe tu!!!!!!!!