Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,405
- 5,235
mpaka wapigwe na kitu kizito ndipo waelewe.Hawatakuelewa.
mpaka wapigwe na kitu kizito ndipo waelewe.Hawatakuelewa.
Hata mimiNahitaji mwalimu anifundishe kubet😃
usije ukajifunza hio kitu ni ulevi mmoja mkubwa sana weka akiba yako achana na hio makitu.Hata mimi
Eh hayaa nilidhani watu wanapiga sana helausije ukajifunza hio kitu ni ulevi mmoja mkubwa sana weka akiba yako achana na hio makitu.
hamna hela huko bhana wanataka uende uwe kama wao.Eh hayaa nilidhani watu wanapiga sana hela
To rectify matters men should take the lead and teachTangu mwanzo nadhani Mungu aliumba mwanaume amuongoze mwanamke...lakin saiv dunia imekua kisengelenyuma....
#torectifymattersmenshouldtaketheleadandteach#
Mtu juzi kapata ml 20hamna hela huko bhana wanataka uende uwe kama wao.
Eeh wanataka kutunzwa sasa tufanyaje??Tangu mwanzo nadhani Mungu aliumba mwanaume amuongoze mwanamke...lakin saiv dunia imekua kisengelenyuma....
#torectifymattersmenshouldtaketheleadandteach#
muuulize amepoteza kiasi gani na muda aliopoteza mpaka ameipata hio hela utachoka. Kamari ni bahati mkuuMtu juzi kapata ml 20
Unamiguu mizuri mamiiiime sishabikii mpira ila nabet siku mojamoja
PM ntakufundisha Kila kitu.Nahitaji mwalimu anifundishe kubet😃
Umeona stress za mapenz hazikutoshi...unataka uongeze na za betting?😀Nahitaji mwalimu anifundishe kubet😃
Acha viniuee 😀Umeona stress za mapenz hazikutoshi...unataka uongeze na za betting?😀