suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 190
Amina mama waambie hawa mabinti manake wakiingia kwen bdoa na attitude hii ndo wabakuja hapa kuponda tena
ahahahha pole na mafua wameelewa watajirekebisha
Amina mama waambie hawa mabinti manake wakiingia kwen bdoa na attitude hii ndo wabakuja hapa kuponda tena
Kwa hio hilo kwako sio shida?
kwa wenzi wao...kumbuka kuna watu wanaishi pamoja as husband and wife but hawajaoana..pia uchumba wa sikuhizi bila tombano ni sheeeedah...
kwa wenzi wao...kumbuka kuna watu wanaishi pamoja as husband and wife but hawajaoana..pia uchumba wa sikuhizi bila tombano ni sheeeedah...
nakunywaga chai ya maziwa na mkate
Nakasirika, nalala tena nauchapa usingizi asbh akiomba simpiiii otherwise niamue iwe "make up" sio "morning glory"
hakuna kitu nachukia kama kuamshwa asubuhi wakati usingizi ndio unanoga pale.
Nanunaga ni balaa, ila utasumbuliwa hadi usingizi unakata inabidi umpe tu ili kutimiza wajibu kwa kweli.
'hakuna kitu sipendi kama kuamshwa nikiwa nimelala'
cc Asprin
Si lazima ila utaisoma nambani muhimu lakini sio lazima .
mwanamke akiwa na pumzi ya kutosha sio tu anahimili ila na yeye inamsaidia. cha asubuh kizuri mno
kwa wenzi wao...kumbuka kuna watu wanaishi pamoja as husband and wife but hawajaoana..pia uchumba wa sikuhizi bila tombano ni sheeeedah...
Nani kakudanganya utoe siri za ndani???
Utanitambua.
Kwa wakubwa tuu
wanawake mloolewa acheni kubana miguu asubuhi tupeni mambo, hii inatusaidia kuwa freshi siku nzima kazini bila mawazo ya naniliiio, mimi nikipiga asubuhi yaani mchepuko nitauwaza saa ngapi?
Zingatieni hili wadada kudumisha ndoa na mapenzi kwa waume zenu