Gololi One
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 576
- 365
Wakaka na nyinyi masuala ya usafi wa mwili yanahusu, unaomba morning glory wakati jana ulipiga mtungi umerudi nyumbani hukukumbuka mswaki wa mouth wash. Kwa wale wanaojua harufu ya pombe asubuhi kabla kinywa hakija fanyiwa maarifa.
Bora umewaeleza. Aise inakera.