Niliwahi kudate na TomBoy mmoja... Ila yeye ni pisi kabisa shida yake kubwa ni kupenda kuvaa kama mwanaume...Wakuu kuna hawa wanawake wanapenda kujiweka kiume yaani wanaswaga za kiume kabisa kuanzia uvaaji nk
Naomba kuuliza hili kundi huwa wanavutiwa na wanaume gani wa kuwa nao kimapenzi?
Majority wana majini mahaba ya kiume.Hawavutiwi na wanaume wanavutiwa na wanawake...
unataka nitaje niko wapi? Niko dar, uliza ujibiwebila shaka umeandika ukiwa mkoani
😆😆 Haya banaKuna mmoja nilimpelekeea motooo akawa analia kama beberuuuuuuu......hakuna mkate ngumu mbele ya chai........
From konda to mkufunzi, bila shaka alikuwa kipanga ila kamchezo kale sasa.Kuna mmoja mkufunzi wetu alitania akiwa na wanafunzi wa kiume tu tumkamate faraghani tumvue nguo ili tuone mashine yake imekaaje, ni ya kawaida au vipi. Mwanafunzi mmoja alisema atam approach akamtandike miti aone kama anahemka kikike kike na ashike mimba. Huyo tom boy ugomvi wake mkubwa ni kugombania wasichana, hataki mademu zake watokewe na wavulana. Alikuwa ana hela za kuwalisha chips, wasichana wake walimjua tabia yake alivyowafanyia. Huyo tom boy alikuwa na matiti saa sita, ananyoa, hasuki wala hajirembi. Pamba zake ni za kiume tu. Ana ngozi imekakamaa kama ya mwanaume, alikuwa na kipaji cha ku rap/hip hop. Marafiki zake ni wanaume tu, wasichane wenzake ni mademu zake. Aliwahi kuwa konda wa daladala. Ma tom boy wamekuwa wengi sana
naona hujaelewa sentensi, kuna tom boy mmoja mkufunzi wetu alitania tukamvue huyo tom boy nguo. Siyo kwamba huyo tom boy ni mkufunzi. Tom boy alikuwa ni mwanafunzi mwenzetu wa kike mwenye tabia na haiba ya kiumeFrom konda to mkufunzi, bila shaka alikuwa kipanga ila kamchezo kale sasa.
Uandishi wako mbaya, kasome upya uone.naona hujaelewa sentensi, kuna tom boy mmoja mkufunzi wetu alitania tukamvue huyo tom boy nguo. Siyo kwamba huyo tom boy ni mkufunzi. Tom boy alikuwa ni mwanafunzi mwenzetu wa kike mwenye tabia na haiba ya kiume
Mimi mwenyewe dadangu alipewa mimba nilifurahi Sana japo simjui Baba wa Mtoto Ila nilifurahi SanaKuna mmoja alipewa mimba ...
Wazazi wake walifanya sherehe...