Wanawake Kudeka deka

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
22
Hivi jamani ni kawaida mwanamke kudeka deka au ni baadhi ya wengine kujifanyisha tu. Yaani kitu kidogo tu mara atalalamika hivi ...! mara siwezi...! mara nimechoka...! mara hio tuache tu...! mara sitaki...! na mengine chungu nzima...! Je ni kawaida kwa Mwanamke kudeka au sometimes ni kujifanyisha tu...!
 
NO means NO!
 
Ndo walivyoumbwa mkuu........hata wakitembea wana mwendo wa kudeka!!
 
Heshima kwako mkuu! Sidhani kama ni kweli kuwa ndivyo walivoumbwa. Wapo wengine ni wa kawaida sana siyo walalamishi wala hawadeki. Tabia ya ulalamishi na kudeka aidha ni ya kuzaliwa nayo au inachangiwa zaidi na wewe unavyohusiana naye. Kama unamdekezadekeza naye atakudekea tu inawezekana ukiwa haupo anakuwa mtu wa kawaida tu kama wengine.
 
???!!!
 
Mkuu zinaonekana kama kauli zinazopingana ila ukizisoma vizuri ni kuwa sikukubaliana na Kimbweka kuwa wanawake wote ndivyo walivyoumbwa. Ndiyo maana nikasema wapo wengine ambao ni wa kawaida tu.
 
Wakuu shori lazima adeke bana…….sio awe mkakamavu,haogopi….hatakiwi awe mjasiri sharti awe mwenye haiba……sio shori unamuangalia machoni nae hakwepeshi macho……hata kwenye ishu za kula sio nzi anapita pembeni yeye anamfukuza na kuendelea kula.....hapo lazima asikie kinyaa aache chakula..

Shori unamtembeza kwa miguu asipolalamika basi sio mkali…mashori wakali tabia za kudeka zinawazidishia ukali……hata ukimpa ofa ya kinywaji hatakiwi amalize yoote lazima aweke pozj kidogo kwa ajili ya sample ya mkemia….sauti iwe ndoogo sio apayuke payuke…..sasa shori gani mkali anaendesha lori Bediford au isuzu TXD bana….
 
Raha ya mwanamke kudeka...mwanamke chura anaingia ndani unakuta kashamfukuza au kumuua.
 
Wakuu shori lazima adeke bana…….sio awe mkakamavu,haogopi….hatakiwi awe mjasiri sharti awe mwenye haiba……sio shori unamuangalia machoni nae hakwepeshi macho……hata kwenye ishu za kula sio nzi anapita pembeni yeye anamfukuza na kuendelea kula.....hapo lazima asikie kinyaa aache chakula..

Shori unamtembeza kwa miguu asipolalamika basi sio mkali…mashori wakali tabia za kudeka zinawazidishia ukali……hata ukimpa ofa ya kinywaji hatakiwi amalize yoote lazima aweke pozj kidogo kwa ajili ya sample ya mkemia….sauti iwe ndoogo sio apayuke payuke…..sasa shori gani mkali anaendesha lori Bediford au isuzu TXD bana….

Hii kweli kali!
LOL!
 
Mwanamke deko babu huwezi waachie wenzio wanaojua kudekeza, nisipodeka kwa mpenzi wangu nikadeke wapi? kwa baba yangu au? huwezi tafuta hardcore mwenzio hahaha mtaofundishana kungfu chumbani
 
mwanamke deko babu huwezi waachie wenzio wanaojua kudekeza, nisipodeka kwa mpenzi wangu nikadeke wapi? Kwa baba yangu au? Huwezi tafuta hardcore mwenzio hahaha mtaofundishana kungfu chumbani

:D:D...........
 
Last edited:
DSC05688.JPG

Hapo vp? Sio wote wanao deka wengine unawasotea kama huyu mnamkumbuka Dr.Love?
 
kudeka lazima nanyi simwapenda kuwa macho men!!!!!! TUNADEKA NDIO TUBEMBELEZWE BWAAAAAAAAAAAAAAAAANA...feels nice!!!
NB: kuna saa za kudeka na za kuwa hardcore pia
 
Wataalamu wa maswala ya mahaba wanasema kudeka ni sehemu ya penzi la dhati analokuwa nalo mwanamke kwa mumewe/mwenzie.

Wanawake wengi hupenda sana kuhurumiwa. Akiumwa kidogo au akajikwaa, angependwa agusweguswe sehemu aliyoumia n.k -- Kama watoto tu!!
 
Wala wasikuumize kichwa,kwangu mimi naona ni haki ya mwanamke kudeka,sababu wasipodeka wao inaweza ikawangumu kutofautisha kati yetu na wao.
WAACHE WADEKE NDUGU,HUO NDIO URITHI WAO,kama ukimwona hadeki mfundishe kudeka asije fanana na sisi!!
 
mhhh chacha wewe ulikuwa wataka udeke wewe nani ammbembeleze mwenziwe?

ndo tunadekezana ivo, mapenzi kudekezana ndo utamu ulipo, kubembelezana...'unyumba ni mapatano'....sijui wanaimbaje wagosi huu wimbi ebu malizia
 
hahahhahaha nyumba ni mapatano na mkalie kubembelezana, ila hapo uko sawa kaka
 
Back
Top Bottom