sielewi, huyu dada anawanyimaje watu usingizi.
kuna tofauti kati ya research topic na hypothesis za research, naona hapa mko bize na hypothesis mnaacha topic
sijaelewa...
mwenzao unatumia vema uanamke wake. wao wanabaki haki sawa haki sawa.....jirembue kama delila uone kama jidume halijakupa hadi password ya ATM[
MMMh....sidhaani,kama unajielewa! Kama mshauri na dada yako pia.
mmmh! TUFANYEJE NOW?!! MWACHENI MWAMVITA WA WATU EBOOO!!kazi ni kwenu kujifunza au kupotezea.
mwenzao unatumia vema uanamke wake. wao wanabaki haki sawa haki sawa.....jirembue kama delila uone kama jidume halijakupa hadi password ya ATM
Hata mimi.sijaelewa...
bora sema ww mana mm nimejiuliza cjapata jibu hataWatu wengine bana,sasa tujifunze nini hapo?Kiingereza?
kama hii simple logic watu hamuelewi kweli tz tuna kazi nzito mbeleni....it simply means nchi yetu inauzwa kwa mapenzi na vizawadi...
sielewi, huyu dada anawanyimaje watu usingizi.
kuna tofauti kati ya research topic na hypothesis za research, naona hapa mko bize na hypothesis mnaacha topic
Kumbuka hypothesis pia zinaguide research....waweza verify au kuifanyia falsification........tumia mfano mwingine