wanawake jifunzeni ukarimu kutoka kwa dada huyu

sielewi, huyu dada anawanyimaje watu usingizi.

kuna tofauti kati ya research topic na hypothesis za research, naona hapa mko bize na hypothesis mnaacha topic
 
mwenzao unatumia vema uanamke wake. wao wanabaki haki sawa haki sawa.....jirembue kama delila uone kama jidume halijakupa hadi password ya ATM
 
sijaelewa...

Personally,hata mimi sijaelewa maana..hiyo title ya thread ni tuige ukarimu wa huyo mdada,halafu ndani kinachosemeka ni madongo ya mtoto wa fisadi kisha barua kwenda kwa mpenz wa huyo mamsap..MMh,bora ungeiweka tu barua kisha ukaandika title nyingine kabisa ndugu! n nahisi hata sio jukwaa lake...
 
mwenzao unatumia vema uanamke wake. wao wanabaki haki sawa haki sawa.....jirembue kama delila uone kama jidume halijakupa hadi password ya ATM[

MMMh....sidhaani,kama unajielewa! Kama mshauri na dada yako pia.
 
Hivi unajua Green theorem ni ya aliyeigundua ni mwanamke?

Akili zako zote umeinvest kwenye ch***pi?
Thats all your mama gave u?

mwenzao unatumia vema uanamke wake. wao wanabaki haki sawa haki sawa.....jirembue kama delila uone kama jidume halijakupa hadi password ya ATM
 
kama hii simple logic watu hamuelewi kweli tz tuna kazi nzito mbeleni....it simply means nchi yetu inauzwa kwa mapenzi na vizawadi...
 
so that was the ukarimu under discussion!?yan hayo mapenzi na vizawadi?! hata wewe kuna kazi huko mbeleni....
 
sielewi, huyu dada anawanyimaje watu usingizi.

kuna tofauti kati ya research topic na hypothesis za research, naona hapa mko bize na hypothesis mnaacha topic

Kumbuka hypothesis pia zinaguide research....waweza verify au kuifanyia falsification........tumia mfano mwingine
 
kama hujajua topic huna hypo.
Anatuchosha na kitu ambacho si cha maana kwa wakati huu akati kuna akina baba r1 wanatuchosha vichwa anatuletea story za mtu anayeuza what her mama gave her

Back
Top Bottom