Wanawake jamani! Eti huyu ana miaka 21?

Kiongozi unaweza kutugeuzia hiyo picha kidogo kwa upande mwingine! Kule ndio huwa tunajua umri sahihi...
 
Kuna demu huku kitaa alivyokuwa mrefu,mnene na maziwa nilidhani ana miaka 28+

Nikashangaa kuambiwa ni mtoto yupo la saba na ana miaka 14
 
21 huyo kabisaa pipo wanaangalia mwili. Pia inategemea una comment tokea wapi mikoani hasa Kaskazini watoto wana miili midogo inayoenda sawa na age yao. Lakini ni tofauti na mijini kama dar Huku unakuta mtoto wa primary mwili mkubwa kama form 3 matiti makubwa etc so inategemea na mazingira ya anae comment. Lakini huyo ni mdogo kabisaa na inawezekana hiyo 21 katimiza jana
 
Back
Top Bottom