Wanawake Hawapendi nini?

wanawake wanapenda "attention" e.g hata kama kajipaka poda zake ww mwambie tu kuwa " umependeza kweli" baas atajihesabu kama si wa kwanza basi wapili kwa uzuri kuliko wenzake. Na usimdharau mw'mke hata kama humpendi (haifai kabisa), atajiskia vibaya hata kama mzuri vipi.n.k
 
Ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........

-Kumsifia au kumwangalia mwanamke mwingine kupita kiasi ukiwa nae.
-Kupangua nyumba-yaani yeye amepanga vitu vizuri wewe ukirudi mara soksi kwenye friji au kiatu chini ya kochi.
-Huduma nusu nusu.
-Kumwona mwandani wake akiwa na mawazo au shida fulani,wana support ya hali ya juu.
 
Mwanamke anapenda:

1.Mtu anaye jua ni wake peke yake na hahitaji kuwa roho juu kila akiwa mbali na upeo waa macho yake.

2.Mtu anaye mheshimu na siyo kumfanya kama mali yake

3.Mtu anaye ongea kwa upole na kum sikiliza pia kumuomba ushauri na siyo dikteta

4.Mtu ambae ana shukurani na vitu anavyo mfanyia na kutoa asante siyo kuona kila kitu halali yake tu ili mradi

5.Mtu ambae ata hangaika kumuonyesha mapenzi ya dhati siku zote na siyo kuacha kum fanyia vitu ili mradi kashakua wako

*Mwanamke hapendi pesa aki kupendea pesa basi ujue haja kupenda wewe. Kuna tofauti ya kupenda na "friends for benefit". Wanaume wangapi wako na mwanamke kwa ajili ya ngono tu lakini hawawapendi? Mwanamke akikupenda kwa dhati amekupendea wewe otherwise jua haja kupenda.

*Mwanamke ana mapenzi ya kweli, akisha kupenda kakupenda wewe.

Mwanamke hapendi:

1.Mtu mwenywe majivuno na kumlaghai kwa pesa. Ukiona mwanamke ana shobokea pesa na umaarufu jua wanawake wote siyo hivyo na ni hao wachache wanao haribu majina ya wanawake wa kweli.

2.Mtu ambaye hataonyesha mapenzi yake kwa yeye mbele za watu na kutaka kuficha ficha.

3.Mwanaume anaye jiona ana haki juu yake kisa tu yeye ni mwanaume. Inshort equality siyo mfumo dume.

4.Mtu muongo. Ukimdanganya mwanamke na aka gundua ndiyo utaelewa hichi.

5.Mtu asiye jali hisia zake

Haya ni machache tu ambayo nime jifunza kutoka kwa girlfriend wangu. Utasema tu haujui mwanamke anataka nini kama haumsikilizi. Take time kumjua mwanamke wako na siyo kuconcentrate tu kwenye kutaka kumvua nguo. WOMEN CAN REALLY LOVE & IF YOU TREAT THEM RIGHT THEY WILL REPAY YOU TEN FOLD.

I love my girlfriend & I know hanipendei pesa, hapendi kudanganywa na yes ana penda kusifiwa mara kwa mara(kwani nani asiye penda kupewa sifa). Hapendi maisha ya juu na ameridhika na mimi kama nilivyo. Yeye anacho jali is the I treat her the way a woman needs to be treated & I stay faithful to her.

*Kwa wale wenye wanawake ambao tabia zao za ajabu wamezitaja huko nyuma nawashauri waangalie ni wanawake wa aina gani wana tongoza. Kumbukeni you can't find gold in a pile of trash.
 
Kuolewa saaaaaaaaaaaaaaana
Yani ukimwambia utamuoa bichwa linakua kuuuuuuubwa kweli
nani kakudanganya? kuolewa wala hakuna dili, cha muhimu upate mtu anayekujali, kukuheshimu, kukupenda kwa dhati, anayekuhurumia, anayekufikisha panapo.
Wanawake sasa wameshtuka na ahadi zenu hizo za kuoa ili umpate tu. Ukimkuta mdada akiambiwa kuolewa anakua na bichwa ujue huyo something wrongs.
 
Wanawake sio homogenous kila mmoja ana utashi wake na interests zake. Na Kama binadamu hawapendi mambo yale yale ambayo binadamu wengine (wanaume hawapendi kwa ujumla).
Kuhusu pesa nafikiri mtu yeyote ambaye ni mkweli atakubali kuwa huo mjadala wa kuwa wanawake wanapenda pesa umepitwa na wakati kwa sababu hata wanaume wanapenda pesa na tunawafahamu wengi tu wanaotunzwa na wanawake kwa kila hali nazungumzi a wengi tu kuanzia wa kipato cha chini hadi juu.

Ila kitu mnachotakiwa kujitahidi ndugu zetu wanaume na pengine hata wanawake wengine, panueni uigo wa mawazo na mitazamo yenu kwa wanawake muwachukulie kuwa ni watu wenye utashi, akili, uwezo na hisia kama nyinyi. ushauri wa bure nawapa Wenye watoto wenu wa kike anzeni kuwawezesha kielimu, kimawazo na kihaki. Kizazi kijacho hakitakuwa na maswali kama haya maana vijana wa jinsia zote watakuwa wanazungumzia maendeleo siyo kukogana na kunyanyasana!
Mkumbuke dunia inabadilika ufahamu na elimu kwa wanawake inaongezeka sanjari na vipato vyao kwa hiyo kama bado mnategemea kuingi na gear ya pesa mtapigwa chini everytime washikaji!
 
.....................
-Huduma nusu nusu.

BELINDA na wengine,
Mawazo yako yanavutia sana, japo yananizulia maswali mengi.Yanaleta kiu ya kuyajadili kwa kina.

Hili la huduma nusu nusu nalo je?
Inamaanisha mwanamke si mvumilivu.
Inamaana kama mwanaaume akishindwa kumpatia pesa za matumizi za kutosha, labda kwasababu ya uchumi m,baya, mwanamke hataweza kumuelewa siyo?
 
Pretty,
Unamaanisha unakubali kuwa wanawake hufuata pesa katika mahusiano na wanaume sio?
Tuangalie upande huo kwanza.
Hapa tuangalie pande zote sio wanawake tu. Kuhusu wanawake hawafuati pesa kwa mwanaume bali wanataka pendo la dhati, hata kama wapo ni wachache, na wanaume vile vile wapo wanaopenda mwanamke mwenye kipato nao ni wachache. Hivyo pande zote mbili baadhi wanapenda pesa.
 
-Kumsifia au kumwangalia mwanamke mwingine kupita kiasi ukiwa nae.
-Kupangua nyumba-yaani yeye amepanga vitu vizuri wewe ukirudi mara soksi kwenye friji au kiatu chini ya kochi.
-Huduma nusu nusu.
-Kumwona mwandani wake akiwa na mawazo au shida fulani,wana support ya hali ya juu.

OK got big assignment hapa! have to do my homework seriously!
 
Hawapendi kuachwa katikakati ya mchezo!!!! Wanafurahi wakifikishwa katika kilele cha mlima!!!! Yaani hakuna kitu kinamkera mwanamke kama mnapanda mlima ghafla tango linakuwa baloon lililokosa upepo na kusinyaa!!! Hivi inakuwaje hapo jamani!!?? Ni mambo ya kitabibu au kisaikolojia?? Tuelimisheni ili tubadilike ili ndoa zidumu au ziwe na furaha!!
 
najua wanawake hawapendi
1. kupuuzwa.
2. kupigwa
3. kupigwa chabo wakiwa bafuni wanaoga,
4. kutawaliwa
5. mtu anayemaliza mapema
6. mtu anayepiga moja moja
7. wazee
8. kutoka nje peke yao usiku
9. mtu asiye mmbeya

hehehehe
 
najua wanawake hawapendi
1. kupuuzwa.
2. kupigwa
3. kupigwa chabo wakiwa bafuni wanaoga,
4. kutawaliwa
5. mtu anayemaliza mapema
6. mtu anayepiga moja moja
7. wazee
8. kutoka nje peke yao usiku
9. mtu asiye mmbeya

hehehehe

Basi ipo kazi kweli kweli.
 
Mwanamke anapenda:

1.Mtu anaye jua ni wake peke yake na hahitaji kuwa roho juu kila akiwa mbali na upeo waa macho yake.

2.Mtu anaye mheshimu na siyo kumfanya kama mali yake

3.Mtu anaye ongea kwa upole na kum sikiliza pia kumuomba ushauri na siyo dikteta

4.Mtu ambae ana shukurani na vitu anavyo mfanyia na kutoa asante siyo kuona kila kitu halali yake tu ili mradi

5.Mtu ambae ata hangaika kumuonyesha mapenzi ya dhati siku zote na siyo kuacha kum fanyia vitu ili mradi kashakua wako

*Mwanamke hapendi pesa aki kupendea pesa basi ujue haja kupenda wewe. Kuna tofauti ya kupenda na "friends for benefit". Wanaume wangapi wako na mwanamke kwa ajili ya ngono tu lakini hawawapendi? Mwanamke akikupenda kwa dhati amekupendea wewe otherwise jua haja kupenda.

*Mwanamke ana mapenzi ya kweli, akisha kupenda kakupenda wewe.

Mwanamke hapendi:

1.Mtu mwenywe majivuno na kumlaghai kwa pesa. Ukiona mwanamke ana shobokea pesa na umaarufu jua wanawake wote siyo hivyo na ni hao wachache wanao haribu majina ya wanawake wa kweli.

2.Mtu ambaye hataonyesha mapenzi yake kwa yeye mbele za watu na kutaka kuficha ficha.

3.Mwanaume anaye jiona ana haki juu yake kisa tu yeye ni mwanaume. Inshort equality siyo mfumo dume.

4.Mtu muongo. Ukimdanganya mwanamke na aka gundua ndiyo utaelewa hichi.

5.Mtu asiye jali hisia zake

Haya ni machache tu ambayo nime jifunza kutoka kwa girlfriend wangu. Utasema tu haujui mwanamke anataka nini kama haumsikilizi. Take time kumjua mwanamke wako na siyo kuconcentrate tu kwenye kutaka kumvua nguo. WOMEN CAN REALLY LOVE & IF YOU TREAT THEM RIGHT THEY WILL REPAY YOU TEN FOLD.

I love my girlfriend & I know hanipendei pesa, hapendi kudanganywa na yes ana penda kusifiwa mara kwa mara(kwani nani asiye penda kupewa sifa). Hapendi maisha ya juu na ameridhika na mimi kama nilivyo. Yeye anacho jali is the I treat her the way a woman needs to be treated & I stay faithful to her.

*Kwa wale wenye wanawake ambao tabia zao za ajabu wamezitaja huko nyuma nawashauri waangalie ni wanawake wa aina gani wana tongoza. Kumbukeni you can't find gold in a pile of trash.

Mwanafalsafa.
Kwa sehemu kubwa ndivyotulivyo.
Lakini kumbe hamtujui kabisa.
 
...sijafanya bado ujinga huo! Mtu nishamuweka ndani bado tu niendelee kuomba omba na kubembeleza hata vilivyo 'halali yangu'... No way bana!

Sasa hivyo vyako unataka kuchukua kwa nguvu Mbu!? Hivyo vyako ambavyo hutaki kubembeleza na kuomba omba kwa sababu ni 'halali yako' ni vipi!? :) Kama ndiyo hivyo ninavyodhani basi ukichukua kwa nguvu hiyo inaitwa rape na mama akiamua kukushtaki basi unaweza kuwekwa mahali ambapo hustahili kuwepo. Hivyo vitu unaweza kupata bila matatizo yoyote kama unaonyesha upendo wa dhati, unamuheshimu huyo uliyemuweka ndani na kuhakikisha anakuwa happy kila siku iendayo kwa mungu :) ukiweza hayo basi hivyo vilivyo vyako vinaweza kuwa halali karibu kila siku kama pumzi na ubavu vitakuruhusu :)
 
...kuchukua kwa nguvu sithubutu maana mamsapu ni 'graduate' wa Tae-Kwon do tena wa ule mkanda mweusi :(

...majuzi 'nilinunua' ugomvi bila kutarajia! kisa chenyewe kilikuwa;

...mamsapu kajijaribisha (bila mafanikio) evening dresses za kutokea usiku... baada ya masaa kukatika akaniuliza, " mbona nguo zangu hazinitoshi tena, nimenenepa?"... jibu langu lilikuwa ndio, ..weeeh!
 
Back
Top Bottom