Lincolnboy
Member
- Mar 31, 2023
- 59
- 117
Habari za majukumu wana JF,
NAHITAJI kupata uhakika na maelekezo juu ya mademu chotara au shombeshombe wa kiarabu nimepata tetesi kua mkoa wa TABORA.
Wanapatikana kwa wingi na maisha yao ni maisha ya hali ya kawaida tu hivo nimekuja jamvini kuuliza kwa wenyeji wa mkoa wa Tabora, je ni kweli Hawa mademu mashombeshombe wapo?
Na ni maeneo gani wanapatikana?
Natanguliza shukurani