wanawake chakaramo wanaolewa zaidi kuliko wanaojiheshimu

beware

Member
Oct 15, 2011
29
2
katika maisha yangu nimeona wasichana wengi ambao kimaisha wanajiheshimu either hawaolewi au wanachelewa kuolewa lakini wengi wahuni ninaowafahamu wengi wanaollewa why this?
 
katika maisha yangu nimeona wasichana wengi ambao kimaisha wanajiheshimu either hawaolewi au wanachelewa kuolewa lakini wengi wahuni ninaowafahamu wengi wanaollewa why this?
Simple_unaowaona wahuni ni kwamba ni wacheshi na hao unawasema wanajiheshimu ni kwamba wengi wao ni wanafiki(wanajifanya watulivu kumbe....)......huu ni mtazamo wangu_waungwana msinipige mawe.
 
Kuna jamaa alinimbia kuwa demu mapepe akipata mtu anatulia..akanitolea mfano demu wa mshikaji wetu..alikuwa changu fulani..lkn sasa hv huwezi amini..demu anasimamia miradi na wana watoto wawili..na demu katulia sana....so naamini maneno yako ..kwa mfano wng huu...cjui wengine mitazamo yao
 
ni kweli toka nimeanza kuchakarika wachumba kibao nimimi tu nitangaze siku ya harusi
 
Wengine unaweza kuwaona chakalamu kwa nje kumbe kwa ndani wasafi,na wengine wanaoneka kwa nje bonge la watulivu kumbe kiukweli hao ni NOUMER!Lakini pia mapepe wengi ni wajanja wa kucheza na sanaa ya ULIMI kiasi kwao ni rahisi pia kushawishi mahusiano ya kudumu.
 
Wanawake wote ambao kwa mwonekano ni "wapole" huwa "ni shirika la ugawaji" kwa sana!

Wanawake wote ambao kwa mwonekano ni "mcharuko/chakaramu" huwa ni wagumu sana "kugawa"

Hii ni kwa uzoefu wa Obuntu...
 
Clever girl+ dom man=marriage
so hao wasichana wengi wao ni wajanja na wana ushawishi lakini hao wanaojiheshimu hungoja kila kitu aseme mwanaume
 
katika maisha yangu nimeona wasichana wengi ambao kimaisha wanajiheshimu either hawaolewi au wanachelewa kuolewa lakini wengi wahuni ninaowafahamu wengi wanaollewa why this?

na hili ni tatizo kubwa sana baadaye kwani wengi wa hawa wanaolewa kuikimbia halii hii wakitafuta hifadhi huko kwa waume zao na matokeo yake ndiyo haya matatizo yaliyoko kwenye ndoa
 
Chakaramo girls ndo wajanja wanakuwaga. Anamteka mwanaume kiakili + kimapenzi + kihisia, mwanaume anaishia kumuoa,
 
Wengine unaweza kuwaona chakalamu kwa nje kumbe kwa ndani wasafi,na wengine wanaoneka kwa nje bonge la watulivu kumbe kiukweli hao ni NOUMER!Lakini pia mapepe wengi ni wajanja wa kucheza na sanaa ya ULIMI kiasi kwao ni rahisi pia kushawishi mahusiano ya kudumu.

mkuu umeongea kweli hapa. Nkiwa chuoni 1st year, nliopoa bint chakaramo, ana mapepe kuliko kipepeo, mi nkajua huyu atakuwa tu walewale machakaramo...nlichokikuta, nkaishia kusema kumbe uchakaramo haupo nje! Mapepe yote yale kumbe nyege.
 
Ukissoma baibo yesu alikuja kuokoa wenye dhambi so hao nao ni wamoja wao akuja kuokoa wasio na dhambi yaani wanaojiheshimu ndio maana wanaishiaga kuweka vingast pamoja na kujiheshimu whole life
 
Back
Top Bottom