Wanavyosema kuhusu JF

Status
Not open for further replies.

YesSir

Senior Member
May 14, 2009
129
0
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round
 
Yessir,
THEY! ni kina nani hao?..
Kwanza wafahamishe kwamba JF ni ukumbi wa kumkoma nyani, hapendwi mtu na hata hayo maoni ya Mwanakijiji huchambuliwa na watu sio Hotuba za kina Mkapa ambao hawapokei hoja..
Na kisha basi hotuba kama ile ilitolewa na vyombo vyote vya habari nchini na akapewa sifa kubwa ya kuzungumza wakati hao hao wakikjua fika kwamba Mkapa never Practise what he Preached!..
Ebu kasome ile Hotuba ya Mkapa, Mwanakijiji kaibandika kisha ufikirie unayoyajua leo hii kuhusiana na mtu huyo ndipo utafahamu UNAFIKI na UFISADI ni kitu gani kwani siku zote kuandika au kuzungumza wengi wanaweza sana na katu haiwezi kuwa kielelezo cha Ufisadi wa mtu au Forum...
Hao hao unaowasema THEY wambie karibuni JF kijiweni nao walete mbiu zao zitapokelewa kwa mikono miwili lakini wasije fikiria kabisa kwamba tutawakumbatia kama zile hotuba za kina Mwinyi na Mkapa... wao waujua huu nasi twaujua..
 
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round

Yessir nafikiri umejiunga na kuanza kuchangia hivi karibuni, sina hakika lakini huenda ulikuwa unasoma hoja mbali mbali kwani si wote wanaosoma wanachangia mawazo. Sasa kwanza wewe hadi umeleta hii hoja natumaini baada ya kujiunga umesoma posts nyingi sana, wewe umeona hicho kitu kipo hapa??? Kuna posts ngapi hapa JF, je zote ni za mwanakijiji?? kuna replies ngapi hapa JF , je zote ni za mwanakijiji?

Swali kama siyo wewe ndiye unayesema hayo maneno kwa nini hukuwaelimisho hao rafiki zako waliokwambia hivyo, !! Akili yangu inanituma huenda ni mawazo yako binafsi kwa faida zako binafsi au za watu wengine unaowajua wewe.
 
Dah mamluki wapo wengi naona hata JF imeingiliwa. Mikono ya mafisadi ipo sehemu nyingi kuliko tunavyo jua. Sijui ni payroll ina tembezwa au wengine ni ushabiki tu.
 
gademu..!! Mkandara nimecheka hapa sina hamu... hivi wanawadharau sana watu waliomo humu? Kwamba nikiondoka mimi ndiyo JF itakuwa 'safi'! Gademu Rostam....you ain't gonna stop eh.. (don't ask me I just had to say his name just to piss some people off)!!
 
Mkuu ila umeithank the thread sasa sijui you were being sarcastic au? Ila usi shangae sana in any thing there are supporters of both sides. Lets hear his story.
 
Mkuu ila umeithank the thread sasa sijui you were being sarcastic au? Ila usi shangae sana in any thing there are supporters of both sides. Lets hear his story.

namshukuru mtu yeyote ambaye kwa sekunde chache ameamua kutumia muda wake kuandika kitu, inaonesha amefikiria kuandika kitu hicho na hivyo ameandika mawazo yake.. nakutumia muda wake. Sijali sana ameandika nini!
 
Yessir nafikiri umejiunga na kuanza kuchangia hivi karibuni, sina hakika lakini huenda ulikuwa unasoma hoja mbali mbali kwani si wote wanaosoma wanachangia mawazo. Sasa kwanza wewe hadi umeleta hii hoja natumaini baada ya kujiunga umesoma posts nyingi sana, wewe umeona hicho kitu kipo hapa??? Kuna posts ngapi hapa JF, je zote ni za mwanakijiji?? kuna replies ngapi hapa JF , je zote ni za mwanakijiji?

Swali kama siyo wewe ndiye unayesema hayo maneno kwa nini hukuwaelimisho hao rafiki zako waliokwambia hivyo, !! Akili yangu inanituma huenda ni mawazo yako binafsi kwa faida zako binafsi au za watu wengine unaowajua wewe.

wewe nawe usiongee mambo usiyoyajua..bora uulize,kama nilivyouliza mimi kuliko ku weka conclusions!

mwanakijiji anaongelewa every where.. hadi kwenye michuzi amesutwa kwamba ni fisadi na ni mtoto wa fisadi..sasa what does that have to do with me. anyways sawa nimeshapata majibu
 
what they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round
no research no right to speak...:(
 
what they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round
embu tuanze na wewe je? Unadhani ni kweli?
 
wewe nawe usiongee mambo usiyoyajua..bora uulize,kama nilivyouliza mimi kuliko ku weka conclusions!

mwanakijiji anaongelewa every where.. hadi kwenye michuzi amesutwa kwamba ni fisadi na ni mtoto wa fisadi..sasa what does that have to do with me. anyways sawa nimeshapata majibu

Mkubwa;

Dah! Sijui niseme tu nifungiwe humu?????? Dah! Duh!

Nyani Ngabu ebu mmalize huyu!. Tatizo la hizi Blog ni kuwa watoto na wazee wanajumuika pamoja ba kubadilishana mawazo, sasa watoto huwa hawachelewi kujionyesha kwa ufinyu wa mawazo yao!.
 
hujakatazwa kwenda kijiweni kunywa kahawa na kucheza bao bwan'mkubwa
 
Hii inathibitisha kuwa JF inapaa na inaonekana hata kwa mbali.

Kama watu huko nje wameanza kubainisha baadhi ya watu wanaowahisi wao kuwa ndio chachu ya jamvi hili na kuwasema kwa husuda, ni dhahiri kwamba wamekunwa kisawasawa. Yessir ametoa mifano ya baadhi ya watu wenye blogs ambao nao inaelekea wanaona wivu wa jinsi JF inavyopata ushabiki na zaidi inavyoleta chachu ya mabadiliko chanya.

Kwa maoni yangu, kumshambulia mwanaJF mmoja kuwa ni mtoto wa Fisadi au yeye mwenyewe ni fisadi bila kuelezea kwa kina na ushahidi ni wivu usio na tija. Hivyo nakuomba Mkuu Yessir, waambie hao wenye husuda pia wanakaribishwa kuchangia hapa JF, waelezee masimanzi yao, tutayajadili na kufikia mwisho wa yote. Speculations hazina room hapa JF. Wanaoleta speculations hapa hujilaumu baadae, kwa maana hawaachiwi hata sekunde kuendeleza ushadidi wao.

Mwanakijiji kama walivyo wachangiaji wengi hapa ni watu ambao michango yao kitaarifa na kihamasa inaheshimiwa sana. Kama hiyo ndiyo kero za hao watu, basi wana safari ndefu katika makuzi yao kifikra.

Kama alivyosema Mkandara, michango yote, iwe ya Mwanakijiji au mtu mwingine yeyote hujadiliwa, huwa-challenged na nia si kuonyesha ujuzi wa kuchangia au kjidanganya au kumkomoa mtu, bali kufikia ukweli na kutoa mapendekezo ya maana kwa wahusika au criticism zinazoweza kusababisha mabadiliko katika jamii yetu hii inayochafuka kila kukicha bila sababu za msingi.

Mkuu Yessir, karibu JF, challenge hoja za Mwanakijiji na sisi wengine wote. Hapa utasikilizwa kwa makini.
 
Mimi humu kinachonishangaza yani ukiwa upande wa pili usio wao unashambuliwa na payroll za RA wao ukiwapeleka kwa staili hiyo hiyo utasikia marefarii anavunja sheria za JF afungiwe etc.

Wapeni watu uhuru wa mawazo ,kinachoendelea humu sometimes ni VIRTUAL COLONIZATION ya kwamba lazima uwe upande wetu ? utafikiri memba humu wengine ni wanyama waendeo marishoni yani ya kwamba lazima wafuate njia aipandayo bwana wao

Afterall who is RA ?tumewashindwa MAFISADI wa KWELI waliopanga madili eti tunakuja kukurupuka na RA.
Kwa pesa za EPA na zinginezo role ya RA inafanana kabisa na ya Balali ma BACKBONE wa dili twawafahamu nao wa fahamu kumshitaki RA ni kumwonea maana wezi ni wao.

Hivi wewe ikitumwa kuondowa moshi unaowasumbua utaenda kuzima moshi ama utaenda kuzima moto.
kwa mtazamo wangu WANASIASA wote wanaojidai eti wanafanya mapiganio ya mustakibali wa Taifa ni wanafiki ni wazushi ,wanavyo vielelezo vyote wameshindwa kuvipeleka Mahakamani ama wameshindwa kwenda kushitakia ktk umoja wa mataifa kwanini hawaendi kushitakia kwa sababu kufanya hivyo HAWATAKUWA na HOJA MAJUKWAANI.
 
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round

I think that most of us in this forum are independent minded people, not swayed nor held in awe by anybody. I wonder where you picked up your allegations, as it seems that you have not stayed long enough in this forum to read and analyse in depth members posts!
 
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round

Yessir, kwanza karibu ndani ya JF- "The Home of Great Thinkers" kuna members wengi sana ambao huwa wanatoa hoja zao na zinachambuliwa kwa kina kabisa. Hapa Ndani huwa watu hawakurupuki tu na kuanza koungea bla bla. Asante kwa hicho ulichokisema angawaje kwa upande wangu naona kama ni porojo tu. Au ni wewe ndio unayesema kuwa JF iko corrupted na M.M.Mwanakijiji???
 
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round
bangi zingine bwana
we acha tu
 
Siku zote ukiona kitu kizuri kinasifiwa basi wenye roho mbaya na za kwa nini lazima watajitokeza na kuanza kuponda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom