- Thread starter
- #101
Konakali kwako sisogei hata kama ningekuwa NOT OCCUPIED bora ningejifia na bikira yanguMimi ni mwaminifu sana...! Lakini njoo kwangu uone kama nina tatizo...!
Konakali kwako sisogei hata kama ningekuwa NOT OCCUPIED bora ningejifia na bikira yanguMimi ni mwaminifu sana...! Lakini njoo kwangu uone kama nina tatizo...!
samito najua hunishambulii ila nashangaa unapopinga hoja ya wanaume na umalaya
hata mimi nilikuwa najisemeaga hivyohivyo ila siku nilipojua Mmasai kacheat kidogo nizimie kwa maumivu
kwa sasa nimekomaa roho hainiumi sana
ulivyoniudhi kwa uzushi huu kichwa kimeanza kiniuma itabidi jioni nipite zahanati kucheki afyawe kiboko umetembea dunia nzima.......nilichokigundua hapa ni kwamaba marytina una msomgo wa mawazo, umekuwa unaiba wame za watu halafu utamu ukiisha wanakumwaga sasa unahasira na wake zao, unataka kuwakatisha tamaa...acha hizo, hilo la kutuambia tusiwaache wala huna haja ya kulisema wengine vitabu vyetu vinatuambia kwamba mungu anachukia kuachana, sasa kwanini nimchukize mungu...haachwi mtu mama wala usihofu. Niliambiwa mnaitwa chewing gum, utamu ukiisha unatemwa kuleee.........
Hahahahahaha.....! Hebu jaribu kukimbia nikusake kama utaweza kunipotea....! What is so special kwangu mimi hadi hutaki hata kunisogelea?Konakali kwako sisogei hata kama ningekuwa NOT OCCUPIED bora ningejifia na bikira yangu
mumeumbwa hivyo sasa tufanyeje????????????
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.
Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:
1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU
My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.
"WANAOJISIFU WAUME ZAO WAMETULIA wanajidangaya na kama ni mtulivu basi hana hela na au sio handsome" by Bebii wa JF
nimegundua wewe unaibiwa mumeo kila mara na bila chenga (yaan anachukuliwa mbele yako) ndio maana unanijia juu kiasi hiki.Kwa sababu na wewe umeanza kucheat
nimegundua wewe unaibiwa mumeo kila mara na bila chenga (yaan anachukuliwa mbele yako) ndio maana unanijia juu kiasi hiki.
hapana nakataaKanuni ya mahusiano inakwenda hivi: Mwanamke malaya hupata mwanaume malaya na kinyume chake vile vile. Kina unachoona unapata ujue ndo stahili yako kulingana na tabia na mwenendo wako. Hata hao wanawake wenzio wote unaoona wamepata wanaume malaya ujue wamepata kulingana na tabia na mienendo yao. Ikiwa unaona hakuna mwanaume mwaminifu, kwa uhakika kabisa ujue hakuna mwanamke mwaminifu.
Wanaume malaya kwani wanatembea na migomba?? Rudi tena ukafanye utafiti usiopendelea upande wowote! Ushahidi wa kimazingira unaonesha kuwa wanawake malaya na wanaume malaya idadi yao sawa!!
naanza kuhisi hata jana mmeo hakulala homeAcha kumsingizia Mungu wewe.............
tena wewe na kauhandsome kako huitaji lakionea ni vielfu kadhaa
Wee... usijidanganye...tueshimiane
hamna mwanaume anaye kataa game labda mgonjwa
hata mimi nilikuwa najisemeaga hivyohivyo ila siku nilipojua Mmasai kacheat kidogo nizimie kwa maumivu
kwa sasa nimekomaa roho hainiumi sana
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.
Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:
1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU
My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.
"WANAOJISIFU WAUME ZAO WAMETULIA wanajidangaya na kama ni mtulivu basi hana hela na au sio handsome" by Bebii wa JF
nimekujua leo??????????????????????Hahahahahaha.....! Hebu jaribu kukimbia nikusake kama utaweza kunipotea....! What is so special kwangu mimi hadi hutaki hata kunisogelea?
haya maneno mweleze MAADAM Tmbona wewe mtata sana mtu mzima anaibiwaje?
ulivyoniudhi kwa uzushi huu kichwa kimeanza kiniuma itabidi jioni nipite zahanati kucheki afya
We kiboko umetembea dunia nzima.......Nilichokigundua hapa ni kwamaba Marytina una msomgo wa mawazo, umekuwa unaiba wame za watu halafu utamu ukiisha wanakumwaga sasa unahasira na wake zao, unataka kuwakatisha tamaa...acha hizo, hilo la kutuambia tusiwaache wala huna haja ya kulisema wengine vitabu vyetu vinatuambia kwamba Mungu anachukia kuachana, sasa kwanini nimchukize Mungu...haachwi mtu mama wala usihofu. Niliambiwa mnaitwa chewing gum, utamu ukiisha unatemwa kuleee.........
mmasai hajachukuliwa ila kuna mdada wa US aliniibia na hili limeisha:Huyu mdada wa US alinifanya niamini wanaume wote ni malayaMkuu MTM wasiliana na Rejao akuonyeshe kunakopatikana avatar 'zenye usalama' maana unaweza kubakwa hapa...
Hivi huyo mmasai si ulisema keshachukuliwa na wa kutoka US... bado una nafasi?
Hebu jaribu kufikiria sababu zingine maana nikijichukulia mfano wa mimi; japo ela ya vits sina lakini walau ya bia, gesti na kagari ka kutembelea kapo, lakini sijawahi kupata hamu ya kucheat... Kuhusu biology si haba sana maana viraundi viwili vitatu mara tatu nne kwa wiki wifi yako anarizika, na akisafiri hapa hapa kwa dunia au akienda mwezini bado namsubir... Kuhusu kumcha Mungu ni kweli namcha mungu sana, na japo udhaifu wa kibinadamu wanifanya sometimes niende kinyume na amri zake, lakini walau udhaifu huo haujawahi kuwa dhidi ya amri ya sita...
Sasa kwa mawazo yako unadhani mimi bado nina 'tatizo' gani?