Wanaume wenye "six packs" na wanaojichubua

Wadada wakati mnaangalia six pack mkumbuke zipo pia feki.
images
 
hizo ni tabia za wanaume wa arusha dem chuga kaa Huna six parts na huli ugoro, na gomba, ganja, kiroba alafu ukipanda kifuani usugue papuchi mpaka inukie baruti.. bila hivyo atakutangaza kinoma dem wa chuga ataki mwanaume wa Dar kimoja anahema kaa suzuki inapanda kitonga.
Hahaha...........
 
Six packs, kujishughulisha na pochi kama jengo la mkapa ndio combination bomba. Ukitaka kuelewa kuwa six packs hazina maana, uwe huna kitu mfukoni wala shughuli ya kueleweka,halafu uwe na mwanamke mzuri asiejitambua!
 
Six packs,mikorogo sijui nini mbwembwe tu.
Mwanaume wa ukweli anapimwa kwa pochi na a/c yake bank inasoma sh ngapi?
Ana miradi mingapi?
Mjengo upo?
Six Packs huku mfukoni huna kitu...WTF?
Nimekupenda Bure Mkuu Nifah


Sina Hela Tu
 
Mwanaume wa ukweli anapimwa kwa pochi na a/c yake bank inasoma sh ngapi?

Ana miradi mingapi? Mjengo upo?
Six Packs huku mfukoni huna kitu...WTF?

Hivi hakuna walio na pochi, miradi, mjengo na six pack vile vile?
 
Kuna wengine na hizo six pack zao utadhani undertaker akhuuu

Wakati mwingine unakuta ni insecurity ya mwanamke tuu.

It doesn't look good pale mwanaume aliyefit akiongozana na mwanamke ambaye hajali mwili na afya yake kwa ujumla.

Pia kwa wanaume wengine six packs ni matokeo ya kujali miili yao.

The more careful you are with what you eat and the more you exercise the more you become healthy.
 
Wakati mwingine unakuta ni insecurity ya mwanamke tuu.

It doesn't look good pale mwanaume aliyefit akiongozana na mwanamke ambaye hajali mwili na afya yake kwa ujumla.

Pia kwa wanaume wengine six packs ni matokeo ya kujali miili yao.

The more careful you are with what you eat and the more you exercise the more you become healthy.
Hahaha kumbe sometimes tunakuwa tu insecure? Ila nimeelewa how it feels kuwa na mtu anayejali mwili wake all the time afu mimi Nipo Nipo tu na mwili wangu
 
Mkuu age matters....nilipokuwa in my late teens na early twenties zilikuwepo tu bila kutafuta ila age sasa hivi imeenda zinapotea tu zenyewe....kwahio usiseme eti watu wanaweka vipaumbele wengine lifestyle tu, ushawaona wale wabeba magunia tandale au wasukuma mkokoteni? unafikiri wale six packs wamezitafuta? Halafu unafikiri wanaofanya mazoezi hawafanyi kazi? Tembea basi kwenye gym kama Colleseum pale uone watu wanaokuja kufanya mazoezi halafu useme hawana kazi, narudia tena likukae kichwani,kufanya mazoezi sio kukosa kazi ni mipangilio tu. Mo Dewji alisema anafanyakazi 18hrs sometimes lakini anaenda gym saa saba mchana kama sikosei!!! Ni mipangilio tu,jipange. Btw sina six packs kwahio usifikiri natetea nakupa tu hali halisi

safi sana, nadhani kaelewa somo !
 
Tatizo binadam hatuna dogo .ukiwa na kitambi utasemwa, ukiwa na six packs utasemwa nyinyi ni ndumila kuwili

mazoezi ni muhimu jamani... mimi asubuhi napiga mazoezi ya six packs.. naenda job na nina mpunga wa kutosha


Hapo sijui mtasema nini

Kitambi ni ugonjwa,, ondoa mafuta

kukimbia huwezi, kusimama kwa muda mrefu huwezi

Push up huwezi
Show huwezi bao moja chaliiii

Halafu unaleta mada ya kijinga

hahahahhhaha matokeo yake mkewe ana honga vijamaa kwa sababu ya uzembe wake !
 
Barafu
Kwa habari ya kujichubua sawa sio KTU kizur kwa Mtoto wa kiume hata wa kike coz inabid ujikubali na rang yako!!

Hapo kwenye six pack !! Mwanaume lazma au inapendeza uwe na mwil wa kiume unakuaje umelegea tumbo kama mwanamke!! Mwanaume uwe na muscle bwana!! Tutumua hata mkisimama na mke wako tofauti ya kimiili ionekane sio unakua na mwili legelege!!
Nahis naww utakua manyama uzembe ndo maana unadis six pack
Mimi six pack nimeweka kwy wallet.......ni nzuri kuliko za hao wanaojichubua!
 
Back
Top Bottom