Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Mamito umenigusa sana na huu uzi hebu pokea tano za hewani za kule ambako nimestaafu kwa sasa kuonekana mpaka mtambo wa nyuklia uhamie airtel ndipo nitaingia tena

asante sana kkwa huu uzi bestito
wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. Au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.

Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? Maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.

Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...

Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?

Kwa hisani ya insta.
 
Really! Then why do men pay women, treat women, spoil women? I DIDNT THINK SO TOO!
inatokea bhana. tena walio wengi unakuta kapendwa kwa hela zake, yaani anachinwa. akiingiza mada ya kuoa binti anaruka kimanga. mwisho wa siku kijana anaamua kuoa wa kawaida, japo si chaguo lake.

we mwenyewe ushawahi kumfanyia hivo mwanaume mwenzetu!! kumbuka thread yako moja ulimkataa mwanaume kisa mfupi, na vitu vyake ulikula sana. baadae akaja mchumba wake mpya kukuuliza ni kwa nin uliachana nae ukamdanganya eti ulikuwa ni utoto. so mambo yanakuwaga kama hayo.
 
black girl: hongera xana kwa kultambua hlo japo me mwanamke bt kiukwel cfa hz ndo muhm cz km uzur wa xura, shape(kimuonekan wa nje) wapo weng wazur! bt tabia ndo kla k2.
 
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.

Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.

Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...

Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?

Kwa hisani ya Insta.

Because you haven`t make him ask you that important question "will you marry me?"- by Steve Harvey- think like a man act like a lady.
 
Hahahaaa shosti we noumerr aiseeee what if hilo gari umenunua mwenyewe... mambo ya kupika umeweka kapuni

Thread yanichekeshaje hii

kwikwikwi...mambo ya kitchen department itategemeana na care anayonipa, siyo kujipinda tu hata hela ya manicure sipewi, ila usafiri aje nao wa kwake kwa kweli
 
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.

Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.

Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...

Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?

Kwa hisani ya Insta.

Mi napenda mwanamke ambaye hawezi kufanya all that just ili aolewe.
 
Shida ya wanawawake wa siku hz wanapenda vitu syo mtu.. Sasa si wanaume kuna mambo tunaangalia bhana.. Kuoa kwetu sisi ni jambo zito.. Ila kwa wadada kuolewa wanachukulia kama fashen......
 
Heaven on Earth dada yangu sisi wanaume acha, tunazingatia vitu vidogo ambavyo unaweza hata usidhanie, lakini kubwa zaidi mwanaume unayefanya kosa anakupamba haonyeshi kukerwa si wako, wakati mwingine naweza kuku-dictate makusudi kukupima ila wewe unaiona sifai yaani full mitego. La msingi nikucheza kama binadamu anavyotakiwa kubehave bila maigizo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom