Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,845
2,938
Jana nikiwa nimekaa ufukweni, pembeni kuna wadada nao wamekuja kupunga upepo, akapita mwanaume tumbo wazi, sijui tumbo la bia lile, wadada wakacheka sana na kuambizana, mwanamke wa huyu mwanaume ana hasara, hili tumbo kweli kitandani anaweza kazi.
 
Kuna aina za vitambi. Kuna vile vimekaaa kama b ndogo, hivi ni vitambi vya msosi, vitambi vya chini. Kuna vitambi vya kati, yani tumbo limechongoka kwa kwenda mbele kama mjamzito. Kuna vitambi vya juu, yani mtu anakuwa anaonekan kama tumbo kipo kifuani hivi, hakuna mgawanyiko wa tumbo na kifua, vitambi vya shida mara nyingi

Sasa kuna watu wana vitambi vya familia, au kula sana. Hawa hata wafanye zoezi lakini hawapunguzi kula. Hawa utakuta wepesi hata kwenye kukimbia humkamati, ukijimksi na aini hiiii na wew ulitegemea hule nyama zake halafu apige bao huwai kunyonyesha mwanao nyumbani, UTAJUTA
 
bora mtoa mada umesema maana unakuta mtu kikitambi likubwa anahemea jujuu kama anamimba ya miezi 19 1/2 duu
 
Kuna aina za vitambi. Kuna vile vimekaaa kama b ndogo, hivi ni vitambi vya msosi, vitambi vya chini. Kuna vitambi vya kati, yani tumbo limechongoka kwa kwenda mbele kama mjamzito. Kuna vitambi vya juu, yani mtu anakuwa anaonekan kama tumbo kipo kifuani hivi, hakuna mgawanyiko wa tumbo na kifua, vitambi vya shida mara nyingi

Sasa kuna watu wana vitambi vya familia, au kula sana. Hawa hata wafanye zoezi lakini hawapunguzi kula. Hawa utakuta wepesi hata kwenye kukimbia humkamati, ukijimksi na aini hiiii na wew ulitegemea hule nyama zake halafu apige bao huwai kunyonyesha mwanao nyumbani, UTAJUTA
My frendi Merengo90 za siku mbili tatu.. Je mwenzangu unatamani kitambi... au upojee?!!
 
Kuna aina za vitambi. Kuna vile vimekaaa kama b ndogo, hivi ni vitambi vya msosi, vitambi vjya chini. Kuna vitambi vya kati, yani tumbo limechongoka kwa kwenda mbele kama mjamzito. Kuna vitambi vya juu, yani mtu anakuwa anaonekan kama tumbo kipo kifuani hivi, hakuna mgawanyiko wa tumbo na kifua, vitambi vya shida mara nyingi

Sasa kuna watu wana vitambi vya familia, au kula sana. Hawa hata wafanye zoezi lakini hawapunguzi kula. Hawa utakuta wepesi hata kwenye kukimbia humkamati, ukijimksi na aini hiiii na wew ulitegemea hule nyama zake halafu apige bao huwai kunyonyesha mwanao nyumbani, UTAJUTA

nimecheka sana.
 
Back
Top Bottom